Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
probably HE can do something about it.
Itakuwa ni zawadi kubwa ya Krismasi na mwaka mpya kwa maelfu ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini. ! Dear Santa, I have not asked for anything lately but just this time please!!!
Msomaji wa mada hii, naandika mada hii nikirejea maoni ya wachangiaji wenzangu wa mada ya "UDSM ndio chanzo cha Mfubao wa Elimu Tanzania" kama ilivyowasilishwa na Mkamap. Kwa mrejeo wa kujua nini tulijadili, unaweza kupitia kiungo hiki: http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=140258#post140258.Ni kweli kwamba kiwango cha elimu ya juu (huenda na ya kati) Tanzania kinadidimia kila uchao.
1. Chanzo cha kudumaa huku kwa elimu ni nini?
2. Tufanyeje ili tunyanyue?
3. Nafasi yako ni ipi katika kuifanya elimu hii inyanyuke?
Tuendelee na mjadala.
Idimi

Ahsante sana Bikirembwe kwa kuleta hii. Huu nao ni mwiba na ni miongoni mwa dhulma dhidi ya Wazanzibari, na hivyo ni miongoni mwa kero kuu za Muungano. Vinara wa JF nalo hili liangalieni, na kwa nguvu, kasi na ari moja litoleeni maelezo kama vile mnavyofanya vizuri katika mada za mafisadi za Richmond na EPA. Kwani dhulma ni dhulma tu, na maonevu ni maonevu tu, na upendeleo ni upendeleo tu uwe wa ufisadi au wa kuwanyima haki hao watoto wakati wenzao wapewa- Abaa!!!
Watu wameomba mkopo wala siyo msaada, halafu wakapewa Watanganyika, Wanzanzibari wakanyima, hii haingii akilini kabisa! Kama ndivyo ilivyotokea na hakuna maelezo ya kuridhisha toka wizarani basi tutakuwa na kila sababu ya kuamini ubaguzi umefanyika; kama ndivyo tujiulize huko wizarani wanatoa wapi kiburi hiki?
akina mkjj na wengine mko wapi? watetezi wa nyonge mko wapi? au hawa wazenji kufanyiwa haya ni sawa?
au wazanzibari hawana haki kwenye elimu ya juu?
ubaguzi huu mpaka lini? kwa nn hasa wazanzibar wanafanyiwa haya???
Niko kidogo skeptical na habari hii .Inakuwa kama habari ya sisi Waislam kila siku kulalama tunabaguliwa lakini ukiangalia hali halisi ni mentality tu .Sasa na hili la ndugu zetu wao kila siku wanabaguliwa at the same time wanajiita wazanzibari na si Watanzania .Tunaomba ushahidi mlate hoja tuingie kazini .