Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hapana, just wishing. Sidhani kama itavunjwa. Nyatega na wenzake hawawezi kuondolewa pale kuna maslahi ya watu wengi sana. So, ndio maana hata sikumuomba Rais afanye lolote, nimemuomba Santa; probably HE can do something about it.