Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Watu wameomba mkopo wala siyo msaada, halafu wakapewa Watanganyika, Wanzanzibari wakanyima, hii haingii akilini kabisa! Kama ndivyo ilivyotokea na hakuna maelezo ya kuridhisha toka wizarani basi tutakuwa na kila sababu ya kuamini ubaguzi umefanyika; kama ndivyo tujiulize huko wizarani wanatoa wapi kiburi hiki?
kama imetokea hivi, yeyote aliyefanya haya lazima achukuliwe hatua haraka sana na ikiwezekana atundikwe mnazi mmoja ili kutoa fundisho kubwa sana kwa watu wenye mawazo ya kugawa na kutenga watanzania!
Bikirwembe leta habari zaidi za hii story... kitu kikubwa hapa ni majina ya maofisa hao kama wanajulikana.