Mimi sitaki mungano wa aina yo yote. Zanzibar ibaki kuwa nchi na Tanganyika nchi. Tukutane EAC. Period.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
aaha, nimekuona kumbe unataka wazanzibar wafe njaa! Hawajielewi tu lakini muungano unawabeba sana wao!
Aaha, nimekuona kumbe unataka wazanzibar wafe njaa! hawajielewi tu lakini muungano unawabeba sana wao!
hivi kile kifusi cha udongo waliochanganya kambarage na karume kimehifadhiwa wapi?
Mimi sitaki mungano wa aina yo yote. Zanzibar ibaki kuwa nchi na Tanganyika nchi. Tukutane EAC. Period.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
hivi kile kifusi cha udongo waliochanganya kambarage na karume kimehifadhiwa wapi?
Acheni porojo, kibuyu kimoja ulikua udongo wa zanzibar na kingine wa tanganyika. Vijana wawili mmoja mznz na mwingine mtanganyika walimkabidhi mbele ya halaiki akachanganya.Me aliniacha hoi sana mzee nyerere, sasa mbona vifusi vya ardhi mbili zote(tanganyika na zanzibar) alichanganya mwenyewe, kwa nini kila mtu asingeshika chupa ya kifusi cha mchanga wake??
Hili kwa sasa kulikwamisha ni kazi na linaweza kuleta machafuko, kumbuka 66% ya WAGUNYA wamesema wanataka nchi yao. Demokrasi na heshima kwa watu lazima iwepo, na hata viongozi wao na wastaafu wanataka nchi yao. Hii ya kusema watakufa njaa mnaitoa wapi? yaaani wao hawaoni zaidi yenu? ha ha ha ha