mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Acha kibri wewe! Kuanzia kuumbwa kwa Dunia mpaka 26 April,1964 ni Wazanzibar wangapi walikufa kwa njaa kwa kuwa haukuwepo Muungano? Wa Tanganyika wanokufa kwa njaa mbona ni wengi kuliko wa Zanzibar kwenye Muungano,nenda vijiji vya kanda ya Kati ushuhudie! Mie sikuwah kuupenda wala sitoupenda Muungano bt sio kwa sababu ya chuki bali kwa kuwa hauna Manufaa,Pia kuvunja muungano haimaanishi kuvunja Mahusiano. Tanganyika huru is Coming Inshallah!
[Acha upotoshaji rejea picha zote utaona aliechanganya Udongo alikuwa Kambarage peke yake ndio sababu wapo wanaoamini uliochanganywa pengine ni udongo wa BUTIAMA na Dodoma!]
mkuu hapo kwa red unamaanisha nini? attacking approach is never good! you have got to learn how to respect other people's ideas!