Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Mkuu uwe unabonyeza "Report Abuse" ukiona jambo lolote usilolipenda, esp matusi/lugha ya kejeli, etc ili hatua ya haraka zaidi ichukuliwe badala ya ku-mention kila wakati!
Kipipi nashukuru kama umeliona hilo.
Huyo MzunguMndali kutwa kuniandama mimi mara Madame B nimekufa,
mara sijui Ameniota nafanyaje,mi namuangalia tu,
ila yeye kutaja wenzake we Buchanan unaona sawa ila mie nikimtaja unaona nimekosea,
afu unasema tubonyeze Report abuse.
Ina mana pale aliponitaja mimi hujapaona ila mimi nilipomtaja ndipo umepaona?
Acheni hzo,kama MzunguMndali ni Mamluki tuambieni tujue.
Sasa hv CC nzima tumemuhara kwa tabia yake.
Nawe MzunguMndali kama unataka bifu niambie sio kila siku kuniandama,
mimi bifu naliweza tena zaidi ya Dr. Dre na Chris Brown.
Mleta mada tayar kalimwa ban
Mmeng'ang'ania report abuse tu badala ya kuwa considerate na threads zinazorushwa!
Inamaana comments zote ambazo huwa mnadelete zinakuwa zimereportiwa???
Mbona kwenye issue zingine mnakuwa macho sana . . . .?
Tumeshakuwa watoto sasa ambao kila saa tunakimbilia kushtaki tu!
Ungekuwa umeandamwa wewe au wenzio tena kwa mara zote hizo mngeshapiga ban bila abuse report.
Ila kwa sasa hivi mnajifanya kazi yenu ni kusubiria reports . . . sasa sijui kazi yenu ndo hiyo tu?
Mkuu IGNORE LIST iko wapi nishughulike nayo.Kwa kurahisisha zaidi unamuweka kwenye ignore list ili usizione kabisa hizo post zake zinazokufanya utukane. kila kitu kipo wazi sijui kwa nini hatuelewi
Hakuna cha wale wale wala nini... Ban unajitafutia mwenyewe. Ujanja anotumia huyo mtu ni mdogo sana sasa kwa vile wengine maamuzi yao inategemea maamuzi ya wengine basi wanaingia mkenge. Nina ID moja, mbili au zaidu sioni sababu ya kuwa nazo.Maliza hapo halafu uje na liID lako la kutafutia watu ban. Walewale!!
Si ndo hapo sasa!!!
Wanawatukuza sana tu alafu wanarely kwenye report abuse kama gelesha tu. Buchanan hapo umebugi . . . lazima tukwambie ukweli!
Kuna watu wanatamani wapewe uwezo wa ku-ban watu humu JF. Wanajiona wao ndo usalama wa taifa a.k.a usalama wa JFMmeng'ang'ania report abuse tu badala ya kuwa considerate na threads zinazorushwa!
Inamaana comments zote ambazo huwa mnadelete zinakuwa zimereportiwa???
Mbona kwenye issue zingine mnakuwa macho sana . . . .?
Tumeshakuwa watoto sasa ambao kila saa tunakimbilia kushtaki tu!
Ungekuwa umeandamwa wewe au wenzio tena kwa mara zote hizo mngeshapiga ban bila abuse report.
Ila kwa sasa hivi mnajifanya kazi yenu ni kusubiria reports . . . sasa sijui kazi yenu ndo hiyo tu?
Ubinadamu kazi sana!
Mi nimesema humu kuna Mashemeji, Wakwe, Mawifi, Wajomba sasa mpe Ban Uone kama hajakunyang'anya dada au kaka yake au mkewe.
Kuna watu wanatamani wapewe uwezo wa ku-ban watu humu JF. Wanajiona wao ndo usalama wa taifa a.k.a usalama wa JF
Ukishaona wewe maisha yako ni ya kushitaki wengine tu basi una matatizo yako.