Attention: Kwa mwenye novels aliye Dar aniazime

Attention: Kwa mwenye novels aliye Dar aniazime

haina shaka Sajy kuna siku alisema atavitoa pale mlimani city nikawa na udhuru nikapotea ila nakua busy sana kwenda town kuvitafta ila nakipenda sana
 
HUSSEIN TUWA kwa MKIMBIZI alimaliza.Vitu alivyotupia mle vinafanya upate baridi wakati kuna joto.ILITISHA!
 
Back
Top Bottom