Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Habari wanajamii forums,hope mko poa
Nilikuwa tu nawakumbusha wanaume wenzangu hili jambo hili la muhimu.Ukishaingia tu kwenye ndoa jiandae kupata tendo la ndoa kwa ratiba na kutokana na mood ya mtu wako.Huko ukiingia tendo la ndoa ni nadra sana tofauti na ukiwa single maana kila kitu utalipia.
Hakuna freedom tena kama ile uliyokuwa nayo kabla haujafunga ndoa.Kila kitu kwako lazima uki justify.Usifurahie tu kufunga ndoa jiandae na mambo hayo na punguza matarajio mengi kwa mke wako maana ndio unakwenda kufahamu TRUE COLORS za mke wako
Sijasema msifunge ndoa nilikuwa nakumbushia tu JIPANGE SAWASAWA mwenzako nayaona haya nayoyaandika hapo.
JUMAMOSI NJEMA KWENU.