Attention: Mwanaume jiandae kupata tendo la ndoa kwa ratiba ukishafunga ndoa

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari wanajamii forums,hope mko poa

Nilikuwa tu nawakumbusha wanaume wenzangu hili jambo hili la muhimu.Ukishaingia tu kwenye ndoa jiandae kupata tendo la ndoa kwa ratiba na kutokana na mood ya mtu wako.Huko ukiingia tendo la ndoa ni nadra sana tofauti na ukiwa single maana kila kitu utalipia.

Hakuna freedom tena kama ile uliyokuwa nayo kabla haujafunga ndoa.Kila kitu kwako lazima uki justify.Usifurahie tu kufunga ndoa jiandae na mambo hayo na punguza matarajio mengi kwa mke wako maana ndio unakwenda kufahamu TRUE COLORS za mke wako

Sijasema msifunge ndoa nilikuwa nakumbushia tu JIPANGE SAWASAWA mwenzako nayaona haya nayoyaandika hapo.

JUMAMOSI NJEMA KWENU.
 
Kwenye kutongozana na kuahidiana uongo na kweli mnakuwa peke yenu bila hata kushirikisha wazazi au wazee ili kupata ushauri muafaka wa ndoa!

Marangirangi ya ndoa yakianza mnatujazia server hapa jf bila kuzingatia kuwa hapa unaweza kushauriwa na mtu hata asiye na girlfriend...

Ndoa ni uwajibikaji tu, mambo ya ngono ni mengineyo. Hata hisia zaweza potea kabisa kwa sababu ya lifestyle yenu.

Raha ya ngono chepuka.
 
Habari wanajamii forums,hope mko poa
Nilikuwa tu nawakumbusha wanaume wenzangu hili jambo hili la muhimu.Ukishaingia tu kwenye ndoa jiandae kupata tendo la ndoa kwa ratiba na kutokana na mood ...
Ndio maana inabidi uwe na micheps wawili
 
Hii inatokea kama 1. Ukioa mwanamke ambaye hakupendi, hana hisia na wewe

2. Kama ha enjoy sex either ana shida ya kiafya au wewe mwenyewe hujui namna ya kumfanya a enjoy

3. Kama haumuamdai kisaikolojia vizuri, anaona kama unamfanya kama sex machine tu.

4. Kama unataka kila siku, haumwachi hata kidogo apate njaa ya sex
 
Namba 1 ikaziwe maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…