Attention: Mwanaume jiandae kupata tendo la ndoa kwa ratiba ukishafunga ndoa

Ndiyo maana uchangudoa ni old profession. Wateja wake wakuu tangu mwanzo walikuwa ni wanaume waliooa.

Aidha nikukumbushe kuwa mila ambazo uchangudoa ulikuwa haupatikani, mitala ilishamiri.

Jumapili njema
 
Mbona huku mtaani wanawake wanalalamikia kuwa hawaguswi hizo ratiba zinatoka wapi au unataka waanze kutoa Siri kuwa huko ndani ni tia maji tia maji?
Kuna kukata tamaa ambako kunasababisha kupunguza hamu kwa mwenzi!

Njaa mwanaharamu, ukila kwa jirani ukashiba, nyumbani chakula si kitamu tena.

Kumbuka penzi haligawanyiki
 
Kuna kukata tamaa ambako kunasababisha kupunguza hamu kwa mwenzi!

Njaa mwanaharamu, ukila kwa jirani ukashiba, nyumbani chakula si kitamu tena.

Kumbuka penzi haligawanyiki
Sasa asilaumiwe mwanamke jinsi mwanaume anavyokosa hamu Kwa mkewe hata mke vivyo hivyo, kila mtu ataponea Kwa jirani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sasa asilaumiwe mwanamke jinsi mwanaume anavyokosa hamu Kwa mkewe hata mke vivyo hivyo, kila mtu ataponea Kwa jirani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Upo sahihi kwa vile hakuna mtu alioa dada au kuolewa na kaka. Nia ya ndoa ni kufurahia tendo, akilikosa anahamia kwa shock-absorber. Ndiyo maana wanaume tukaambiwa ishi nao kwa akili, akili ni pamoja na kutumia mbinu za kuhakikisha hamkinaiani
 
Vitisho vimekuwa vingi sana mazee

Team kataa ndoa wanajizolea Tuzo point tu
 
Ukipewa ratiba tafuta side chick fasta
Problem solved
 
hii sio kweli kwa kila ndoa,inategemea jinsi mlivyooanzana,jinsi mnavyoishi,na namna mlivyojiwekea kanuni zenu,dini zenu na afya zenu pia
 
ACha kuwatisha vijana. Wewe kama ndoa yako ipo hivo basi usifikiri kuwa kila wanandoa wanaishi hivyo mkuu.

Anyways, pole sana jitahidi ufanye maombi kwani hiyo sio dalili nzuri.
 
Unazungumzia kuoa au kuishi na mwanaharakati (feminist)?
 
Wanawake wote hawa waliojaa mjini daslam ndo kusema umekosa wa kumla mmoja kwa siku? Dawa ya mwanamke mchoyo ni mwanamke mwenzie, Akikubania muache mwezi mzima na K yake nenda kale nje (Ila asijue) afu ukirudi usimguse muache, Mengineyo mtimizie, ila tendo jisahaulishe yaani mfanye kama ndugu wa damu kwamba humgusi uchi! uone atavyoteseka kisaikolijia, atafungulia mwenyewe na msamaha atakuomba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ