Attention: UTUMISHI

Attention: UTUMISHI

Ladies and gentlemen,

Ajira portal wametangaza post TPDC.

Kuna ile ya TECHNICIAN II qualification ni Diploma or FTC in ELECTRONICS.

The way i know most of technical colleges course ni DIPLOMA IN ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING.

sasa kama system yao (ajira portal) inakataa mtu mwenye Diploma in ELECTRONICS AND TELECOM ENG.., applicants wa hiyo posts watapatikana wapi ambao system itawakubalia ku-apply???

Au these days or back in the days kulikua kuna Diploma ya ELECTRONICS tu bila TELECOM?

IF NOT PLEASE CAN SOMEBODY NOTIFY UTUMISHI TO ADJUST THIS FLAW
Kuna kitu Utumishi wanatakiwa wafahamu katika hizo courses.

Unakuta kuna matangazo ya nafasi za Accounting...then candidate alisoma Bachelor of Accounting with Information Technology wanamkataa au Accounting with finance wanamkataa, wanamtaka aliyesoma Accounting pekee
 
Mkuu hapo kwenye ELECTRONICS PEKEE sidhani kama atakuwepo hiyo ni roboti (akili za computer) zilozo programmed. Waangalie namna ya kurekebisha au wasipo-own this system mistake itabidi iwe re-advertised i reckon
 
Mfumo wao una a lot of unnecessary restrictions. Alafu simu hawapokei na emails hawajibu. Uzembe uzembe tu.
 
Wale wanajikuta sana kiburi sana ubaguzi wa kipuuzi kwenye courses. Sasa ngoja tuone apo qualification ni neno DIPLOMA OR FTC IN ELECTRONICS. Bila engineering wala nini. Sidhani kama kuna course ya ivyo. Mi naonaga kuna ELECTRICAL AND ELECTRONICS ENG. au ELECTRONICS AND TELECOM ENG. But poa tu wa kupata apate😊
 
Utumishi kuna majanga mengi. Hawaendi na wakati na pia badala ya binadamu kufanya maamuzi wameachia computer program kuamua na kuathiri wanaotafuta kazi.
Kuna haja ya NACTVET, tcu na vyuo kukaa pamoja na utumishi kutatua hili.
 
Utumishi kuna majanga mengi. Hawaendi na wakati na pia badala ya binadamu kufanya maamuzi wameachia computer program kuamua na kuathiri wanaotafuta kazi.
Kuna haja ya NACTVET, tcu na vyuo kukaa pamoja na utumishi kutatua hili.

Kuna kitu Utumishi wanatakiwa wafahamu katika hizo courses.

Unakuta kuna matangazo ya nafasi za Accounting...then candidate alisoma Bachelor of Accounting with Information Technology wanamkataa au Accounting with finance wanamkataa, wanamtaka aliyesoma Accounting pekee

Una akili sana. Wanazingua sana na kuiamini mno programming waliyofanyia portal yao.

Hakuna DIPLOMA/FTC YA ELECTRONICS. hapo walimaanisha izi izi electronics engineering tunazozijua ila problem wamefupisha kwenye liprogram lao na ata awajishtukiii... Hapo ni much of human error than machine error. They leave their machine unattended.

Its high time for an intervention. NACTVET, TCU haiwezekani waruhusu hii flaw. Vyuo vinakua na majina ya course zao zile zile au wanafanyia extension mfano halisi ni UDSM wana Computer eng and IT na uDOM and most of the rest wana computer eng bila extension ya IT humo humo. Ukute system itawabagua come time ya application kama alivyosema mtu hapo juu wa ACCOUNTING
 
Nchi hii ni ngumu mno. Na nyie raia ndiyo mnaifanya iwe ngumu kwa sababu ya unyumbu wenu. Mtu aliyekuambia hayo matangazo yanatafuta watu wa kujaza nafasi ki-ukweli ni nani? Kusoma hamjui na pia picha mnashindwa kuangalia? Kwa kifupi wanafanya kama simba anavyofanya wakati ameona nyumbu. Frustrate to cause commotion and attack! Maombi yanakuwa namna hii ili nyie maboya mchanganyikiwe na wakati mmechanganyikiwa wanaweka watu wao. SOMO: bila kudai mabadiliko ya mfumo wa utawala mtasubiri sana.
 
"Nyie maboya" wewe ushaajiliwa au upo hapo unatukana tu. Kama unajipambanua kutoka ilo tusi lako la uwingi tell a bit about yourself Mr. Macho man
 
Hapo Kwenye related nakazia Mkuu…
Huenda Utumishi wao wameletewa tuu na Taasisi yenye hizo Kazi!
But Related ni Muhimu sanaaa kuwepo
Kama wameletewa tuuu means wao ndo kazi yao/profession /wana mandate fulani. Kufanya important adjustment na sio becoming so unprofession kulipua lipua tu. Wamepwaya sana.
 
Back
Top Bottom