Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao.
Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000 na ukikutwa haujadai risiti adhabu yake ni faini kuanzia 30,000 hadi 1,500,000.
Kwa wafanyabiashara unaweza kujipatia Mfumo wa VFD na mashine yake (Kutoa risiti kwa kutumia simu) kwa gharama ndogo sana ya 280,000 (unlimited ) maelezo zaidi piga/whtsp 0753688348
View attachment 2605763
View attachment 2605764
VFD hiyo ni risit kwa njia ya Mobile APP. Yani wana install App kwa simu yako (ni kama App flan hivi ya shop management) ukifanya mauzo unaingiza kwenye simu yako then una issue TRA receipt. Sasa unaweza share hiyo receipt kwa njia ya email, whatsapp au uka i print kwa kutumia bluetooth printer (ambayo uta i connect na hiyo simu yako yenye hiyo App).Mfumo wa VFD ndio ukoje huo??, mifumo kibao!!😏
VFD hiyo ni risit kwa njia ya Mobile APP. Yani wana install App kwa simu yako (ni kama App flan hivi ya shop management) ukifanya mauzo unaingiza kwenye simu yako then una issue TRA receipt. Sasa unaweza share hiyo receipt kwa njia ya email, whatsapp au uka i print kwa kutumia bluetooth printer (ambayo uta i connect na hiyo simu yako yenye hiyo App).
Unah
itaj uwe na bundle la Internent

Karibu tukuhudumieMamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao.
Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000 na ukikutwa haujadai risiti adhabu yake ni faini kuanzia 30,000 hadi 1,500,000.
Kwa wafanyabiashara unaweza kujipatia Mfumo wa VFD na mashine yake (Kutoa risiti kwa kutumia simu) kwa gharama ndogo sana ya 280,000 (unlimited ) maelezo zaidi piga/whtsp 0753688348
View attachment 2605763
View attachment 2605764
Nilisahau kukwambia kuwa kuna malipo ya kila mwaka, kuanzia 60,000. Inategeme na kifurushi ulichochukuaShukrani mkuu kwa kunipa darsa.
EFD - Electronic fiscal deviceCould you p'se explain EFD na VFD ni short forms ya maneno gani??