Attention! Wasafirishaji wa vifurushi vidogo kutoa risiti za EFD

Attention! Wasafirishaji wa vifurushi vidogo kutoa risiti za EFD

Nilisahau kukwambia kuwa kuna malipo ya kila mwaka, kuanzia 60,000. Inategeme na kifurushi ulichochukua
Ni elf 60 tu hakuna nyongeza wala kifurushi ni unapata unlimited kwa bei hiyo kuanzia mwaka wa pili
 
VFD hiyo ni risit kwa njia ya Mobile APP. Yani wana install App kwa simu yako (ni kama App flan hivi ya shop management) ukifanya mauzo unaingiza kwenye simu yako then una issue TRA receipt. Sasa unaweza share hiyo receipt kwa njia ya email, whatsapp au uka i print kwa kutumia bluetooth printer (ambayo uta i connect na hiyo simu yako yenye hiyo App).

Unah
itaj uwe na bundle la Internent
Unaweza kutumia bila internet pia
 
Back
Top Bottom