VFD hiyo ni risit kwa njia ya Mobile APP. Yani wana install App kwa simu yako (ni kama App flan hivi ya shop management) ukifanya mauzo unaingiza kwenye simu yako then una issue TRA receipt. Sasa unaweza share hiyo receipt kwa njia ya email, whatsapp au uka i print kwa kutumia bluetooth printer (ambayo uta i connect na hiyo simu yako yenye hiyo App).
Unah
itaj uwe na bundle la Internent