Attion walimu

Ngoja tusubiri.
Tayari kuna mwanajamvi yupo njiani kuelekea ofisi no. 52 hapo MOEVT kupata ukweli.
 
Kweli majanga kama mtu amekosea hata title yaliyomo yatakuwa sahili? Alete source
 
Taarifa za kufikirika sio nzur ni bora kuto kupost kuliko ku2nga tittle kama unatengeza tamthiliya tubadilike jaman
 
Izi tabia za kina baba mdogo iz,then nahc hawa si walimu,hamna walimu majinga ivi ndugu yangu,just imagne title tu kakosea sasa akifanya research si anaacha Chuo? Ifike wakati tubadilike,kuna huyu bwana makuku ray kaja eti na hbr ya baba mdogo haya leo analialia duh
Alikuwa na haraka baada ya kuambiwa na baba yake mdogo anaefanya kazi wizarani.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada nahisi hajitambui maana na hata heading yake inatia mashaka na habari ya yenyewe.
 
Mwaka huu haipo sasa hivi wanasema hela wamepeleka bunge la katiba' ikifika April watasema hela wamepeleka tume ya uchaguzi'

ajira zipo, chamsingi ni kuwa na subira. Haiwezekani pesa za kuajiri walimu wazipeleke kwenye Bunge la katiba hiyo kitu haitakujatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…