Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajira zinatangazwa leo saa kumi.
Ni uhakika
Kamwambia baba yake mdogo anaefanya kazi wizarani..................Kakwambia nani au umesikia wapi???
Alikuwa na haraka baada ya kuambiwa na baba yake mdogo anaefanya kazi wizarani.Tittle yenye hujui,dah tabu tupu
Alie kuambia si ndo unamwitaga baba mdogo eti eeee.........................?Ajira zinatangazwa leo sa kumi: ni uhakika
Alikuwa na haraka baada ya kuambiwa na baba yake mdogo anaefanya kazi wizarani.
Ajira zinatangazwa leo sa kumi: ni uhakika
attion ndo nini?
walimu kuweni na subira kama ipo ipo tuu.
Mwaka huu haipo sasa hivi wanasema hela wamepeleka bunge la katiba' ikifika April watasema hela wamepeleka tume ya uchaguzi'
title yako imekaa ki-division five.