Attion walimu

Attion walimu

Tittle yenye hujui,dah tabu tupu

SAM LOVE,wewe ndo unaongoza kwa kuwa na hamu na majina ya ajira za walimu! Makuku Rey ndo wapili! nataka nithbitshe je aliyoyasema baba mdogo yana ukweli wowote? je ni kweli watatoa majina ya walimu shahada kulingana na mkopo wake chuon kwa %? japo aliniambia majina alhamis yatatangazwa kwa hili alinidanganya!
 
Tuache makuzi kwenye maswala ya msingi kama haya.
Unapojaribu kutoa post ili watu wengi wasome au ku comment jaribu hata kuweka vivid source.
Haya maisha jaman.
Tusitoe post ili kuchanganyana wadau
 
We need education for self Reliance which is satisfactory for rural production and self fulfilment and not the one which produce frustreted graduates
 
mbona hayo mambo madogo,kwani we huwezi kukosea,typing error bwana!!!
 
Ukwel alokwambia ni upi'
SAM LOVE,wewe ndo unaongoza kwa kuwa na hamu na majina ya ajira za walimu! Makuku Rey ndo wapili! nataka nithbitshe je aliyoyasema baba mdogo yana ukweli wowote? je ni kweli watatoa majina ya walimu shahada kulingana na mkopo wake chuon kwa %? japo aliniambia majina alhamis yatatangazwa kwa hili alinidanganya!
 
We need education for self Reliance which is satisfactory for rural production and self fulfilment and not the one which produce frustreted graduates

andika kwa kiswahili tu mwalimu... FRUSTRETED ndio nini!!!???
 
Hivi matokeo ya form four si yatoke tu walau tupumue humu jamvini maana naona VISMU vya HUAWEI na TECNO walivyonavyo hawa watoto mitaani vinawafanya wapost kila wanachojisikia. Mods please Jamvi hili Ni la kielimu zaidi na lisigeuzwe mbadala wa Facebook.

Matokeo yakitoka vimefeli humu tutapumua.
 
ila kwann wanafanya hivi wakat walihaid jan watatoa au ndo siasa mchezo mchafu?
 
Mwalimu mwenyew hajitambui ata heading anashndwa kufanya editing et typing erro nenda zako?ngoja niende zang ofisin nkapge dochi la bia za wekend
 
Back
Top Bottom