Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa, hasibu la FIFA lenye ACCA ya mchongo.Ngoja tumuulize muhasibu kiongozi OKW BOBAN SUNZU kwanza atupe mchakato yakinifu wa kihasibu wa Yawo kabla ya kukomenti.
Tafadhali muhasibu kiongozi wa JF tupe muongozo tusije comment kumbe hilo ni galasa tu la milioni 400 na usher...
Uzuri umesema mwenyewe unawamudu. Hivyo hata wakija kukutukana, mimi sikutetei kwa kweli. 😁Yao ni mchezaji aliyekamilika Kwa uzoefu wangu
YAO. = Ayubu+ kapombe + zimbwe +
kanoute+ kibu + Chama + na
mshambuliaji mmoja baleke
Ukitaka kutengenezewa magoli kutokea pembeni basi jibu sahihi ni kuwa na Attohoula Yao, ukitaka mlinzi wa kulia anae miliki assists nyingi zaidi kwenye LIGI KUU BARA basi jibu sahihi ni Attohoula Yao.
Attohoula Yao ndie usajili bora zaidi uliofanyika dirisha lililopita la usajili.
NB: ukibisha ....lete takwimu za assists za chama, kapombe, zimbwe Chama ...Nikupe assists za master YAO View attachment 2795624
Yule ni mpiga ramli tuNgoja tumuulize muhasibu kiongozi OKW BOBAN SUNZU kwanza atupe mchakato yakinifu wa kihasibu wa Yawo kabla ya kukomenti.
Tafadhali muhasibu kiongozi wa JF tupe muongozo tusije comment kumbe hilo ni galasa tu la milioni 400 na usher...