Attohoula Yao ni sawa na wachezaji 7 wa Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Yao ni mchezaji aliyekamilika Kwa uzoefu wangu

YAO. = Ayubu+ kapombe + zimbwe +
kanoute+ kibu + Chama + na
mshambuliaji mmoja baleke

Ukitaka kutengenezewa magoli kutokea pembeni basi jibu sahihi ni kuwa na Attohoula Yao, ukitaka mlinzi wa kulia anae miliki assists nyingi zaidi kwenye LIGI KUU BARA basi jibu sahihi ni Attohoula Yao.

Attohoula Yao ndie usajili bora zaidi uliofanyika dirisha lililopita la usajili.

NB: ukibisha ....lete takwimu za assists za chama, kapombe, zimbwe Chama ...Nikupe assists za master YAO
1698221166735.jpg
 
Ngoja tumuulize muhasibu kiongozi OKW BOBAN SUNZU kwanza atupe mchakato yakinifu wa kihasibu wa Yawo kabla ya kukomenti.

Tafadhali muhasibu kiongozi wa JF tupe muongozo tusije comment kumbe hilo ni galasa tu la milioni 400 na usher...
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa, hasibu la FIFA lenye ACCA ya mchongo.
 
Yao ni mchezaji aliyekamilika Kwa uzoefu wangu

YAO. = Ayubu+ kapombe + zimbwe +
kanoute+ kibu + Chama + na
mshambuliaji mmoja baleke

Ukitaka kutengenezewa magoli kutokea pembeni basi jibu sahihi ni kuwa na Attohoula Yao, ukitaka mlinzi wa kulia anae miliki assists nyingi zaidi kwenye LIGI KUU BARA basi jibu sahihi ni Attohoula Yao.

Attohoula Yao ndie usajili bora zaidi uliofanyika dirisha lililopita la usajili.

NB: ukibisha ....lete takwimu za assists za chama, kapombe, zimbwe Chama ...Nikupe assists za master YAO View attachment 2795624
Uzuri umesema mwenyewe unawamudu. Hivyo hata wakija kukutukana, mimi sikutetei kwa kweli. 😁
 
Ngoja tumuulize muhasibu kiongozi OKW BOBAN SUNZU kwanza atupe mchakato yakinifu wa kihasibu wa Yawo kabla ya kukomenti.

Tafadhali muhasibu kiongozi wa JF tupe muongozo tusije comment kumbe hilo ni galasa tu la milioni 400 na usher...
Yule ni mpiga ramli tu
 
Back
Top Bottom