Attorney General Prof. Githu Muigai resigns

Attorney General Prof. Githu Muigai resigns

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Githu-e1516686691303.jpg


Attorney General Prof. Githu Muigai has resigned.

Prof. Muigai who is the custodian of the State Law office, handed his resignation to President Uhuru Kenyatta on Tuesday, February 13.

The president has since nominated Judge Paul Kihara Kariuki as his replacement.

The president decided to break the news himself on his Twitter handle.

“I have received with regret the resignation of Attorney General Prof. Githu Muigai. I thank him for his service for the last six and a half years. I have nominated as his replacement Judge Paul Kihara Kariuki,” said Mr. Kenyatta

Until his resignation, Prof. Githu Muigai served as Attorney General for six years.

Source: Citizen Tv
 
Amemkosea nini mkulu? Maana ukisoma hii kivingine ina maana ameachishwa kazi.
 
Huyu alikuwa mtu wa kwanza kumwambia Odinga "ni uhaini kujiapisha kuwa Rais wakati kuna Rais kwa mujibu wa katiba".

Atakuwa alitaka Odinga akamatwe na ashitakiwe baada ya kujiapisha , bahati mbaya Rais Kenyatta akamwambia wasifike huko. Inawezekana jamaa kwa sababu ya msimamo na profession yake akaamua kuachia ngazi.

Kuna watu wanaoamini kwenye haki na sio kupindisha mambo.

Nakumbuka hapa bongo kuna mama mmoja aliomba kazi kwenye NGO moja na akapata. Baadaye akaja akagundua hiyo NGO ina deal na mashoga. Yule mama aliacha kazi kutokana na anachoamini.

Nakumbuka pia marekani issue kama hiyo ilitokea baada ya jimbo fulani kuhalalisha ndoa za jinsia moja. Jaji wa jimbo husika aliachia ngazi kwa kutokukubali huo uamuzi.
 
MWANASHERIA MKUU KENYA AJIUZULU: Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweka wazi kupokea barua ya kujiuzulu kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Prof. Githu Muigai.

Katika Ukurasa wake wa Facebook, Rais Kenyatta ameandika kuwa “ Nimepokea kwa masikitiko makubwa barua ya kujiuzulu kwa Mwanasheria mkuu wa Serikali, Prof. Githu Muigai.

Namshukuru kwa utumishi wake wa miaka sita na nusu.”
Rais Uhuru tayari ametangaza kuziba nafasi hiyo kwa kumteua Jaji Paul Kihara Kariuki.
 
Kama ametumikia taifa lake vizuri na ameona ni wakati wa kupumzika, basi apumzike Salama.
 
Something fishy takes place. Not in African perspective!
 
Kwa nini usiilinde heshima yako uliyo ijenga kwa muda mrefu?? Mzee umefanya vyema sana. Hutako kuitwa ICC kwa vyovyote vile.
 
Kenyan news trend in Tanzania I wonder why theirs never trend here... Chema chajiuza (Kenya) kibaya chajitembeza(Danganyika).
 
Taarifa za kintelejisia huyu jamaa anatayarishwa kuwa Jaji Mkuu badala ya Maraga. Serikali ya Jubilee inapeleka mswada bungeni kutaka mabadiliko kwenye masuala ya mahakama
 
Back
Top Bottom