Atumia Busara ya Kujifariji na Kutuliza Roho Baada ya Mambo Kwenda Kombo

Atumia Busara ya Kujifariji na Kutuliza Roho Baada ya Mambo Kwenda Kombo

Sawa lakini yeye alipania ndoa kwanza princess sayuni.Hakupata muda mrefu wa kuandaa huo wimbo, ndo maana uko hivo.

Na inaonyesha alikuwa kapaniki ndo maana bora angeimba wimbo wa kumtukuza Mungu hapo sijui alikuwa anakimbizwa wapi
 
Last edited by a moderator:
Kuimba ni kipaji na ni kazi za watu, sasa huyu kwa kweli tangu mara ya kwanza tu kuingia gemuni alifosi tu.

Hajui kuimba kabisaa hata imchukue miaka kujiandaa!! sema tu namsifu kwamba ni mojawapo ya wanawake waliotumia vizuri VIUNGO vyao vya uzazi!!
teh teh teh!!
Hiyo fasihi hapo kwenye bold mzee, wee mkali!
 
Katokomea wewe, bado shonza thatha.
zinc, ni wanawake wenye mikwanja ndio hufuatwa na kutelekezwa baada ya kuvuta mkwanja ufaao. Shonza ni shombo to ya magamba, aliyemchumbia hatafuti mkwanja kwake!
 
Last edited by a moderator:
Una maana gani client3?Unazungumzia huo wimbo?Nikukumbushe hivi: Alipatwa na jambo zito la dharura asilolitegemea.Badala ya kujikunja kwa huzuni na masikitiko,akatunga wimbo wa dharura wa kujiliwaza.Wimbo wa aina hiyo huwezi kuulinganisha na wa Diamond unaoandaliwa kwa muda mrefu.Wimbo wa Vicky umekaa kama ulivyo kwa sababu hakupanga angeimba wimbo wa namna hiyo siku moja.

hahahahaaa mbavu zangu mie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom