Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Sawa lakini yeye alipania ndoa kwanza princess sayuni.Hakupata muda mrefu wa kuandaa huo wimbo, ndo maana uko hivo.
Hiyo fasihi hapo kwenye bold mzee, wee mkali!Kuimba ni kipaji na ni kazi za watu, sasa huyu kwa kweli tangu mara ya kwanza tu kuingia gemuni alifosi tu.
Hajui kuimba kabisaa hata imchukue miaka kujiandaa!! sema tu namsifu kwamba ni mojawapo ya wanawake waliotumia vizuri VIUNGO vyao vya uzazi!!
teh teh teh!!
Una maana gani client3?Unazungumzia huo wimbo?Nikukumbushe hivi: Alipatwa na jambo zito la dharura asilolitegemea.Badala ya kujikunja kwa huzuni na masikitiko,akatunga wimbo wa dharura wa kujiliwaza.Wimbo wa aina hiyo huwezi kuulinganisha na wa Diamond unaoandaliwa kwa muda mrefu.Wimbo wa Vicky umekaa kama ulivyo kwa sababu hakupanga angeimba wimbo wa namna hiyo siku moja.