Atumia ubunifu wa kujamba ili kupata pesa (Video)

Atumia ubunifu wa kujamba ili kupata pesa (Video)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ingawa pesa ngumu Ila huu 'ubunifu' haupendezi aisee. Ni masikitiko kama sio msiba.

Alooo hiyo mechanism ya kutoa vijambo namna hiyo ikoje aisee.

Vijambo vikikata anarekebisha mashine kwa spana orijino vijambo vinaendelea
 
Kawadanganya huyo, kuna vimashine vingi tuu vinauzwa hata Amazon vipo, youtube kuna jamaa wengi sana wamepata umaarufu na wamepiga pesa sana maana views zinafikia mamilioni, lakini lazima uwe mbunifu mzuri namna ya kuvitumia ili watu wacheke, ni fursa kama nyingine, hata mange anapiga mamilioni kwa umbeya tuu
 
Unataka kusema,wajinga wanawatahirisha watu fulani fulani

Ova
 
Bongo mafala hawatakuja waishe. Dogo ameshawaibia tayari.
Viongozi nao walishaikabidhi bandari yetu kwa kuchezewa michezo kama hii hii, sema wananchi tukaamua kusimika.
 
Acheni ujinga, ana kadude anakabonyeza kanatoa sauti ya kujamba, vipo Amazon na nyie mnaweza kununua mkapata views YouTube, fursa hiyo
 
Back
Top Bottom