😃😃😃😃😃 anatoa ushuzi wa maji maji........kajinyeaLazima kachafua chupi hapo
Unataka kusema,wajinga wanawatahirisha watu fulani fulaniKawadanganya huyo, kuna vimashine vingi tuu vinauzwa hata Amazon vipo, youtube kuna jamaa wengi sana wamepata umaarufu na wamepiga pesa sana maana views zinafikia mamilioni, lakini lazima uwe mbunifu mzuri namna ya kuvitumia ili watu wacheke, ni fursa kama nyingine, hata mange anapiga mamilioni kwa umbeya tuu