Atunukiwa Tuzo ya Uvumilivu na Rais Mwinyi

Atunukiwa Tuzo ya Uvumilivu na Rais Mwinyi

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tuzo ya Mwananchi Mvumilivu kutoka Pemba, Ndg. Omar Seif Omar, iliyokabidhiwa kwa mtoto wake Ndg. Hamad Omar Seif, kutokana na yeye kushindwa kuhudhuria kwa sababu ya maradhi yanayomsumbua. Tuzo hio imekabidhiwa katika 'Maadhimisho ya Miaka 3 ya Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi'.

Mwananchi huyo amekuwa akifuatilia mafao yake kwa kipindi cha takribani miaka 26 mpaka kuja kulipwa mwaka jana 2023 kwa kupitia msaada aliopata kutoka kwenye mfumo wa 'Sema na Rais Mwinyi'.

Maadhimisho hayo yamefanyika katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar, leo Machi 16, 2024.

FB_IMG_17105933942265388.jpg
 
Sijajua hii tuzo ni sifa za kijinga au mfumo mbovu wa serikali zpte kandamizi..dunianii juu haki za wafanyakazi
 
Pongezi kwa rais mwinyi. Dhulma yoyote ni dhambi.
 
Back
Top Bottom