wakuu kwa wale mliopata fursa ya kushuhudia mechi ya jana kati ya yanga na kagera mtakuwa mlishuhudia magoli aliyokosa atupele green,..sasa mi nauliza hyu mchezaji ni position gani anacheza maana si kwa kukosa magoli yale ya wazi isijekuwa ni beki alilazimishwa kucheza fowadi