lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
Chirwa alikosa penati sembuse atupele?
Mleta mada anataka Atupele Green acheze kama Luis Suarez akiwa anacheza dhidi Yanga, Halafu acheze kama Benteke akiwa anacheza na Simba.
😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chirwa alikosa penati sembuse atupele?
Acha kuchafua CV za watu kwa mambo yako ya kishabiki.
Mleta mada anataka Atupele Green acheze kama Luis Suarez akiwa anacheza dhidi Yanga, Halafu acheze kama Benteke akiwa anacheza na Simba.
😀😀😀
Unakumbuka aliwapa assist(back pass)Kaitaba mikia wakafunga Goli..msiwe mnasahaunimemharibia nani cv?
Unakumbuka aliwapa assist(back pass)Kaitaba mikia wakafunga Goli..msiwe mnasahau
Kweli mkuu, tena Mecky alipiga kelele akimwambia 'Atupele kubaya huko' baada ya muda akachomesha!Unakumbuka aliwapa assist(back pass)Kaitaba mikia wakafunga Goli..msiwe mnasahau