Atupele Green ni beki au mshambuliaji??

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,404
wakuu kwa wale mliopata fursa ya kushuhudia mechi ya jana kati ya yanga na kagera mtakuwa mlishuhudia magoli aliyokosa atupele green,..sasa mi nauliza hyu mchezaji ni position gani anacheza maana si kwa kukosa magoli yale ya wazi isijekuwa ni beki alilazimishwa kucheza fowadi
 
Alifanya alichoagizwa na Merk Mexime.
Kocha mwenye ndoto za kuifundisha Yanga fs. na mwanachama hai wa Yanga fs.
Mi sikuiangalia hiyo mechi, nilishajua matokeo yake kabla ya mpira kuanza kuchezwa.
Kagera ndoto zao ni kufungwa na Yanga kila msimu.
Na wanaifurahia hiyo hali.
 
sidhani km sababu zako zinaweza kuwa na mashiko yaani mexime aharibu cv yake ili aifurahishe yanga? isitoshe wakati yupo mtibwa alikuwa anawaonea sana yanga!!! tatizo litakuwa ni wachezaji kutojitambua maana c kwa kukosa magoli ya wazi vile
 
Na kujifunga goli la 3
 
Yule kijana ni mtu wa rushwa sana, vuta kumbukumbu nyuma aliwai kufika final ya taifa cup na timu ya mkoa wa lindi.lindi ilicheza na singida alijikosesha magoli mengi zaid ya yale ya jana. Kwa kifupi amini usiamini yule jamaa akipewa ata laki 5 hasifunge, anakubali.
 
Hivi yanga haistahili kushinda? Mana ikishinda hazikosekani sababab nini tatzo? Magoli anakosa morata nin atupele green
 
Hivi yanga haistahili kushinda? Mana ikishinda hazikosekani sababab nini tatzo? Magoli anakosa morata nin atupele green
Shida ya hawa mbumbumbu walitegemea tutadroo au kufungwa ili waongeze gap LA points.
Yanga wakishinda wanahonga hapohapo wanasema hawana hela km wao simba.
Yote hayo sababu Manara ashawajua ni mazuzu akiwadanganya na wao wanakubali.
 
Maxime kaanza kuwa Yanga baada ya kwenda Kagera. Akiwa Mtibwa alikuwa Simba?
 
Hivi yanga haistahili kushinda? Mana ikishinda hazikosekani sababab nini tatzo? Magoli anakosa morata nin atupele green

chief mi cjazungumzia yanga nimezungumzia atupele alivyokosa magoli ya wazi hata morata angekuwa anakosa magoli km yale sidhani hta angecheza mpira kwa mafanikio maana c kwa kukosa kule yaan hta sehem ya kuplace tu still ansshindwa ku score? tht y nikauliza nafasi yake ya asili
 
Chirwa alikosa penati sembuse atupele?

iv uliona magoli aliyokosa atupele? sehemu ya kuweka mguu ili afunge yeye anatuliza ...sawa nakubali kuna kukosa magoli lkn si kwa kiasi kile otherwise amechezeshwa nafasi isiyo yake lands hajaizoea
 
iv uliona magoli aliyokosa atupele? sehemu ya kuweka mguu ili afunge yeye anatuliza ...sawa nakubali kuna kukosa magoli lkn si kwa kiasi kile otherwise amechezeshwa nafasi isiyo yake lands hajaizoea

Sawa mkuu naona unampenda sana atupele green na hautaki akosee au afanye makosa ka aloyafanya mana anakuumiza sana moyo wako na unapata maswali mengi yaso na majibu.. pole ndugu yangu na uendelee kuvumilia atabadilika tu
 
Hivi yanga haistahili kushinda? Mana ikishinda hazikosekani sababab nini tatzo? Magoli anakosa morata nin atupele green

Mambo mengine ukifikilia sana unaumiza kichwa chako tu.

Hebu fikiria ni mara ngapi Mavugo anabaki yeye na goli (sio na kipa) na bado anangonga mwamba au ana paisha mpira?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Halafu jamaa akaamua kumvamia Atupele kwa sababu ameshindwa kumfunga Rostand! Nimecheka sana.
 
Sawa mkuu naona unampenda sana atupele green na hautaki akosee au afanye makosa ka aloyafanya mana anakuumiza sana moyo wako na unapata maswali mengi yaso na majibu.. pole ndugu yangu na uendelee kuvumilia atabadilika tu

Au kama vipi aombe kibarua cha kukochi Kagera shuga, Huenda akapata nafasi ya kumnoa atupele green awe kama Harry Kane. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Shida ya hawa mbumbumbu walitegemea tutadroo au kufungwa ili waongeze gap LA points.
Yanga wakishinda wanahonga hapohapo wanasema hawana hela km wao simba.
Yote hayo sababu Manara ashawajua ni mazuzu akiwadanganya na wao wanakubali.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…