Atupele Green ni beki au mshambuliaji??

Chirwa alikosa penati sembuse atupele?

Mleta mada anataka Atupele Green acheze kama Luis Suarez akiwa anacheza dhidi Yanga, Halafu acheze kama Benteke akiwa anacheza na Simba.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Acha kuchafua CV za watu kwa mambo yako ya kishabiki.
 
Mleta mada anataka Atupele Green acheze kama Luis Suarez akiwa anacheza dhidi Yanga, Halafu acheze kama Benteke akiwa anacheza na Simba.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

hayo ni yako mkuu naona unaingiza unazi kwenye ishu serious
 
Unakumbuka aliwapa assist(back pass)Kaitaba mikia wakafunga Goli..msiwe mnasahau
Kweli mkuu, tena Mecky alipiga kelele akimwambia 'Atupele kubaya huko' baada ya muda akachomesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…