Atupele Mwakibete: Hakuna fedha ya Serikali iliyopotea

Atupele Mwakibete: Hakuna fedha ya Serikali iliyopotea

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
VIDEO: Kutoka Bungeni jijini Dodoma, Swali la Mbunge wa Kisesa Mhe. Mpina lajibiwa na Serikali Ambapo Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amethibitisha kuwa hakuna fedha ya Serikali iliyopotea.

 
Bunge linajadili wizi tu tangu limeanza. Wenzetu wanajenga miji mipya kwa hela zao ila sisi tunawapa ardhi watu wa nje wachimbe na hela wapeleke kwao.

Nchi ya hovyo kabisa
Eti hazijapigwa
 
Back
Top Bottom