J JUMA JUMA JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 790 Reaction score 964 May 11, 2023 #1 VIDEO: Kutoka Bungeni jijini Dodoma, Swali la Mbunge wa Kisesa Mhe. Mpina lajibiwa na Serikali Ambapo Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amethibitisha kuwa hakuna fedha ya Serikali iliyopotea. Your browser is not able to display this video.
VIDEO: Kutoka Bungeni jijini Dodoma, Swali la Mbunge wa Kisesa Mhe. Mpina lajibiwa na Serikali Ambapo Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amethibitisha kuwa hakuna fedha ya Serikali iliyopotea. Your browser is not able to display this video.
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 May 11, 2023 #2 Ujinga ndio huu kwani repoti ya CAG inasemaje?
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 May 11, 2023 #3 Bunge linajadili wizi tu tangu limeanza. Wenzetu wanajenga miji mipya kwa hela zao ila sisi tunawapa ardhi watu wa nje wachimbe na hela wapeleke kwao. Nchi ya hovyo kabisa Eti hazijapigwa
Bunge linajadili wizi tu tangu limeanza. Wenzetu wanajenga miji mipya kwa hela zao ila sisi tunawapa ardhi watu wa nje wachimbe na hela wapeleke kwao. Nchi ya hovyo kabisa Eti hazijapigwa