Atupwa jela miaka 4 kwa kumchapa viboko karani wa sensa

Atupwa jela miaka 4 kwa kumchapa viboko karani wa sensa

na kukimbia alisubir nini ?

mimi sikugusi ila taarifa sitoi na nakuacha umesimama hapo mi natoka.

ya nini kwenda jela miaka yote hio k'zembe kabisa au alikua anataka sifa ?

mbona mi nilisepa zangu sikutoa ushirikiano wowote kwa hawa Makarani na niko uraiani napeta ?

vitu vingine tumia akili kidogo tu
 

Attachments

  • B77CA98D-54B5-4E6A-A291-1DD31B10C519.jpeg
    B77CA98D-54B5-4E6A-A291-1DD31B10C519.jpeg
    44.3 KB · Views: 9
Kama ana shida ya akili anajuaje kuwa ana shida ya akili?ni mzima na tatizo mtaani ma bush lawyer huwa wabadanganyana kwamba ukisema una shida ya akili utaachiwa
 
Ndo faida ya mihemko. Akitoka jela kichwa kishapoa na kujua jinsi ya kutawala ubongo wake😀😀😀
 
Back
Top Bottom