Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Aug 31, 2022 #21 Sawa Sawa
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Aug 31, 2022 #22 Too pathetic
mapesa yamejaa JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 1,412 Reaction score 3,419 Aug 31, 2022 #23 Kesi za kipuuzipuuzi zinaamuliwa haraka lakini zinazohusu masilahi makubwa kwa taifa haziamuliwi
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Aug 31, 2022 #24 Bora akapumzike kulipa tozo. Sasa ni kula bure na kulala bure
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Aug 31, 2022 #25 Askari kioja said: Jamaa kaenda jela kimasihara sana aisee Click to expand... Amechoka kula ugali mtaani wa bure muache aje huku ashughulishwe
Askari kioja said: Jamaa kaenda jela kimasihara sana aisee Click to expand... Amechoka kula ugali mtaani wa bure muache aje huku ashughulishwe
Nguva Jike JF-Expert Member Joined Jan 22, 2018 Posts 1,226 Reaction score 1,757 Aug 31, 2022 #26 Amemchapa
kamdudu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 2,007 Reaction score 1,931 Aug 31, 2022 #27 na kukimbia alisubir nini ? mimi sikugusi ila taarifa sitoi na nakuacha umesimama hapo mi natoka. ya nini kwenda jela miaka yote hio k'zembe kabisa au alikua anataka sifa ? mbona mi nilisepa zangu sikutoa ushirikiano wowote kwa hawa Makarani na niko uraiani napeta ? vitu vingine tumia akili kidogo tu Attachments B77CA98D-54B5-4E6A-A291-1DD31B10C519.jpeg 44.3 KB · Views: 9
na kukimbia alisubir nini ? mimi sikugusi ila taarifa sitoi na nakuacha umesimama hapo mi natoka. ya nini kwenda jela miaka yote hio k'zembe kabisa au alikua anataka sifa ? mbona mi nilisepa zangu sikutoa ushirikiano wowote kwa hawa Makarani na niko uraiani napeta ? vitu vingine tumia akili kidogo tu
C Cyn Member Joined Jul 19, 2022 Posts 76 Reaction score 141 Sep 11, 2022 #28 Kama ana shida ya akili anajuaje kuwa ana shida ya akili?ni mzima na tatizo mtaani ma bush lawyer huwa wabadanganyana kwamba ukisema una shida ya akili utaachiwa
Kama ana shida ya akili anajuaje kuwa ana shida ya akili?ni mzima na tatizo mtaani ma bush lawyer huwa wabadanganyana kwamba ukisema una shida ya akili utaachiwa
moi wa kitaa JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 931 Reaction score 940 Sep 11, 2022 #29 Dah jamaa kaenda jela kindezi sana aisee yan kilaiiiiini
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Sep 11, 2022 #30 Alijuajuaje kama dish linayumbaga Ova
witzone2 JF-Expert Member Joined Jan 14, 2022 Posts 797 Reaction score 1,739 Sep 11, 2022 #31 Mad Max said: Mbona hukumu fasta hivyo. Click to expand... NAMI nilitaka niulize hili swali. Ile ya COVID-19 inapigwa Dana Dana tu
Mad Max said: Mbona hukumu fasta hivyo. Click to expand... NAMI nilitaka niulize hili swali. Ile ya COVID-19 inapigwa Dana Dana tu
C Cyn Member Joined Jul 19, 2022 Posts 76 Reaction score 141 Oct 21, 2022 #32 Ndo faida ya mihemko. Akitoka jela kichwa kishapoa na kujua jinsi ya kutawala ubongo wake😀😀😀