sasa hapo kweli kuna democrasia kweli? matamshi ya mtu kwa kile anachokiana yeye kilikosewa na viongozi ni kosa gani iwe ushahidi wake ni mdogo vipi, labda na yeye basi apewe Mafaili ya yale anaona yalikosewa na serikali atete matamshi ni kitu ambacho akiwezekani sasa basi si ndio uonevu. Alafu Kikwete ni mtu wa haki simama upande wako kama mtoto wa kiume kama Rahisi tetea hoja za siasa na viongozo waliopita kama si kweli walichokosa, peleka Mkapa mahakamani akajitete kwa anacho shutumiwa na wananchi wengi si Anney peke yake tu kwa jinsi inavyoonekana kuzingatia former post za humu ndani ya JF.
Bado tu kuna tabia za Nyerere nyingi Tanzania hivi kweli huu si ni uonovu kuliko kwa mtamnzania na haki zake, basi asiseme anachohisi si sawa kwani hawa ni viongozi wa staafu hau ni mitume ya tanzania maana hata wafalme hushutmiwa ingawa hawafikishi mahakani. Pole kwa familia yake uenda alikuwa ndiye mtoa mlo nyumbani kwake sasa hawa mpi tabu yeye tu bali na familia yake ni uonevu.