Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
Hahahahahaha kwa hiyo wewe ni mu Israel wa Bonyokwa? Na mi ngoja niwe mu Iran wa Ruvu: wanasayansi waliokufa ndo hao hao waliokuwa wakitegemewa? Dunia ya leo ni win win. Una uhakika hawana wengine wazuri kuendeleza hiyo kazi?Top layer yote ya jeshi, majasusi na Wana nyuklia wameenda na maji wewe unakuja kuongea utumbo.
Hivi Israel Kwa jinsi alivyokuwa anashambulia hiyo miundombinu ya kijeshi na nuclear sites angefanya hivyo hivyo Kwa raia wa kawaida wa Iran ni nyumba ngapi zingeenda na maji? Au unataka kuniambia nyumba za raia Zina air defence kuliko hiyo miundombinu iliyobomolewa?
Iran alijua Vita ni ngumu kwake ndio maana alikuwa analenga majengo ya raia tuHivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)
Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!
Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
Hahahahaha ila jamani jamani.Iran alijua Vita ni ngumu kwake ndio maana alikuwa analenga majengo ya raia tu
Hichi ndio kinachokuuma.(linalojiita teule)
Duh unakuta wewe ni Shehe kabisa alafu mjingaZayuni safari kawa kama mandonga yani kadundwa na wengine mpaka kuikimbia nchi ya ahadi lkn wazayuni wa homboza hawataki kukubali kilichotokea.. wakati wenzao wamekuwa wakimbizi Cyprus ,France nk
So wewe ni kama ameoba au ? kinazungumziwa Iran wewe unaleta ya Gaza? ni ngumu kuzungumza na naive people stick to one topic utakuwa mwerevu.. how old are you?Hahahahaha ila jamani jamani.
Kwani, Israel hiyo huko Gaza ilifanya nini? Au wao kupiga majumba ya raia kwingine ruksa, lakini ya kwao kupigwa, kosa!
Wameonja kitu UKIMBIZI na wao,
Akili ya kuelewa Hilo Hana hata kidogo. Mapango au mashimo anawaza ujinga anaona Kama mashimo ya ngiri vile. Ajui kama yalijengwa kimkakatiBaba yako Mzazi anaweza kuwa tajiri na anakupenda sana, ila Kuna wakati akikuona huendi vizuri anaweza kukufukuza ilo upate akili, Hilo halimaanishi uwezo wa Baba yako ni mdogo!
Netanyahu ni mwehu sanaHivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)
Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!
Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
Ajitambui huyo. Anaendeshwa na udini tu.Top layer yote ya jeshi, majasusi na Wana nyuklia wameenda na maji wewe unakuja kuongea utumbo.
Hivi Israel Kwa jinsi alivyokuwa anashambulia hiyo miundombinu ya kijeshi na nuclear sites angefanya hivyo hivyo Kwa raia wa kawaida wa Iran ni nyumba ngapi zingeenda na maji? Au unataka kuniambia nyumba za raia Zina air defence kuliko hiyo miundombinu iliyobomolewa?
Kwani kuna mungu ambaye si WA mchango ambaye tumeletewa habari zake na hawa ngozi nyeupe????Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)
Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!
Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
Hahahahahaha hapa utaambiwa ohh, Mungu huyo asie wa mchongo bado anawapenda watu wake. Daadeki. Yaani Mungu anipende,af aachie kweli kombola lituwe kichwani kwangu! Hapana aise, mi bado nashindwa kuelewa watu tuna akili gani.Kwani kuna mungu ambaye si WA mchango ambaye tumeletewa habari zake na hawa ngozi nyeupe????
Yaani, Mungu anaewapenda watu wake, awaache Kombola kubwa liwashukie wang'oke kama visiki! Af, taifa hilo hilo la Mungu, ndo linaua balaa. Means na huyo Mungu gaidi sasa.Mungu ni wamchongo siku zote
Mungu anaye hubiriwa na hizi dini zote ni pyramid scheme
Kama kweli yupo hawezi kuacha watu wawe wanauwana Kila kukicha
Huyo baba yako mzazi tu akikuta unagombana na dada au kaka yako lazima atachukua jukumu la kuwasuluhisha So inakuwaje mungu awaache Palestine na Israel wawe wanapigana miaka na miaka bila Huyo mungu kuingilia kati na kumaliza huo mrafaruku !??
Ina maana Kifikra Mungu anashindwa na baba wa kibinaadamu ambaye anaona kabisa kitendo Cha watoto wake kugombana sio kitendo chema na ana amua kuwasuluhisha
Hahahahahaha japo huyo Mungu simuaminigi, lakini umenichekesha sana aise.Hivi wenzetu hua mnasoma Bible gani? Mbona Mungu alishatemana na hao jamaa toka kule jangwani baada ya kutoka Egypt, walimletea mazongi mazongi sana, Mungu akaona isiwe tabu kila mtu ashike njia zake.