Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Israel mpaa silaha katumia zina Depleted uranium (DU) bombs kule Iran lakini hakushinda vita, Iran wana investigate bado.Mnajua kujidanganya sana nyie ๐๐,nafikiri ili mjisikie vizuri
Kwani wewe kuna kipi unachojua zaidi ya kutukana?We huna lolote wewe kaombewe hujui lolote hata matusi hujui ningekutukana basi tu kuna ma gentleman wameniambia nikuache huko kwenye private
Matusi pia nikipaji kiujumla wewe hunizidi lolote katika maisha haya ya duniani.Kwani wewe kuna kipi unachojua zaidi ya kutukana?
Hunijui sikujui, Halafu unasema sikuzidi.Matusi pia nikipaji kiujumla wewe hunizidi lolote katika maisha haya ya duniani.
Si dalili naziona mtu aliye kuwa hamjui Mungu hawezi nizidi akili, maisha nilio nayo ki ujumla namini kabisa we uko level ya chini sana kwa kila kitu.Hunijui sikujui, Halafu unasema sikuzidi.
In fact huna unachojua zaidi ya kufanya ad hominem attack na speculations zisizo na uthibitisho wala mantiki.
Kwa nini Mungu aliumba binadamu ambao hawamjui?Si dalili naziona mtu aliye kuwa hamjui Mungu hawezi nizidi akili, maisha nilio nayo ki ujumla namini kabisa we uko level ya chini sana kwa kila kitu.
Mungu ametuleta hapa duniani kuja kufanya mtihani na moja wapo ni kumuamini bila kumuona usipo muamini wewe utakuwa umepotea. Huwezi kumuona Mungu ukaishi ndio sababu, angetaka umuone ukaishi angeweza lakini hakutaka hilo na hio ni amri yake yeye. Leo akikufungulia tu umuone malaika mtoa roho basi ujue unakwenda ni bye bye hubaki. Sa we kama unamini hakuna Mungu ulizaliwa tu kutokana na shahawa za baba yako kwanini wengine wakizaliwa tu wanakufa wengine wanaishi? Kwanini hizo shahawa zifanye hivyo hivi huoni hapo ni Mungu ndio anapanga vile shahawa zitapanga vipi. We unauhakika gani mpaa kesho utaishi. Au bada ya saa au nusu saa.Kwa nini Mungu aliumba binadamu ambao hawamjui?
Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wote wawe wanamjua?
Huyo Mungu akiaminiwa anafaidika nini?Mungu ametuleta hapa duniani kuja kufanya mtihani na moja wapo ni kumuamini bila kumuona usipo muamini wewe utakuwa umepotea.
Kama Mungu haonekani, Ni nani aliwahi kumuona huyo Mungu akajua kweli yupo?Huwezi kumuona Mungu ukaishi ndio sababu, angetaka umuone ukaishi angeweza lakini hakutaka hilo na hio ni amri yake yeye.
Huyo Mungu kama haonekani na hataki aonekane, Ni nani alimuona akajua yupo?Leo akikufungulia tu umuone malaika mtoa roho basi ujue unakwenda ni bye bye hubaki.
Kuzaliwa na kufa ni hatua za kila binadamu na kila mmoja lazima atazipitia hatua hizi. Hazikwepeki.Sa we kama unamini hakuna Mungu ulizaliwa tu kutokana na shahawa za baba yako kwanini wengine wakizaliwa tu wanakufa wengine wanaishi?
Kuhusisha Mungu na Shahawa ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.Kwanini hizo shahawa zifanye hivyo hivi huoni hapo ni Mungu ndio anapanga vile shahawa zitapanga vipi.
Either uwe una mwamini Mungu au haumwamini, Hakuna mwenye uhakika kwamba kesho ataendelea kuishi.We unauhakika gani mpaa kesho utaishi. Au bada ya saa au nusu saa.
Binadamu hawaumbwi.Mungu aliumba binadamu,
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Anatujaribu ili agundue nini?si kwa ajili ya haja ya kuabudiwa tu, ni kwa ajili ya kuwajaribu na kuwaruhusu kuchagua kumwabudu kwa uhuru.
Kama Mungu haonekani, Ni nani alimuona akajua yupo?Kumwona Mungu moja kwa moja kungepuuza jaribu hili, kwani kungelazimisha ibada kwa woga au badala ya imani ya kweli. Ulimwengu huu ni mtihani, katika huo mitihani vitu visivyo onekana na moja ya hivyo ni uwepo wa Mwenyezi Mungu humuoni, na ni sehemu ya mtihani huo.
We uliwahi kuziona akili zako? Sa vipi unamini una akili na hukuwahi ziona.Huyo Mungu akiaminiwa anafaidika nini?
Huyo Mungu asipoaminiwa anapungukiwa nini?
Huyo Mungu kama alitaka kuaminiwa na binadamu wote, Alishindwaje kuumba binadamu wema watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?
Kama Mungu haonekani, Ni nani aliwahi kumuona huyo Mungu akajua kweli yupo?
Au unajaribu tu, kufosi imani yako uliyoaminishwa?
Bila uthibitisho wowote ule.
Huyo Mungu kama haonekani na hataki aonekane, Ni nani alimuona akajua yupo?
Thibitisha Mungu yupo na si imani zako za vitabuni ulizo aminishwa.
Kuzaliwa na kufa ni hatua za kila binadamu na kila mmoja lazima atazipitia hatua hizi. Hazikwepeki.
Wewe kuzaliwa na kuishi, Haimaanishi kwamba hutakufa. Kila mtu atakufa.
Tunatofautiana tu muda na wakati wa kufa. Wapo wanaozaliwa na kufa hapohapo.
Wapo wanaozaliwa na kuishi na wapo wanaoishi lakini mwishowe hufa.
Kuhusisha Mungu na Shahawa ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.
Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Mungu na Shahawa hazina uhusiano wowote ule.
Mungu hapangi chochote.
Either uwe una mwamini Mungu au haumwamini, Hakuna mwenye uhakika kwamba kesho ataendelea kuishi.
Binadamu hawaumbwi.
Binadamu tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.
Hakuna Mungu aliyeumba binadamu. Binadamu ndio wamemuumba Mungu kupitia imaginations tu.
Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.
Mungu hayupo.
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Anatujaribu ili agundue nini?
Kuna kipi asichokijua hadi atujaribu?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Kama Mungu haonekani, Ni nani alimuona akajua yupo?
Kama Mungu haonekani, ulijuaje na unathibitishaje yupo?
Akili haziaminiwi.We uliwahi kuziona akili zako? Sa vipi unamini una akili na hukuwahi ziona.
Very simple unatakiwa uwe una akili kuelewa. Adam Shahawa za nani zilie mzaa. Jibu hapo kabla hutujaenda mbaliAkili haziaminiwi.
Akili zipo na zinaweza kupimika kujulikana zipo.
Huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile zaidi ya mawazo ya kufikirika tu.
Ukibisha thibitisha Mungu yupo na si imani na mawazo yako ya kufikirika tu.
Kwa nini unaanza kwa Adamu naku mu exempt huyo Mungu?Very simple unatakiwa uwe una akili kuelewa. Adam Shahawa za nani zilie mzaa. Jibu hapo kabla hutujaenda mbali
Sa we naona unaruka swali kwa Mungu tutafika tu, we unaye sema ulitokana na shahawa tu bila Mungu nimekupa swali Adam alitokana na shahawa za nani, mbona unakimbia swali.Kwa nini unaanza kwa Adamu naku mu exempt huyo Mungu?
Tuanzie kwa huyo Mungu, Huyo Mungu alitoka wapi?
Chanzo cha huyo Mungu ni nini?
Adamu ni fictional character anaye exist kwenye hekaya za Biblia tu.Sa we naona unaruka swali kwa Mungu tutafika tu, we unaye sema ulitokana na shahawa tu bila Mungu nimekupa swali Adam alitokana na shahawa za nani, mbona unakimbia swali.
Ikiwa unayo dai ni kweli, swali ni nani au ni nini kiliumba kuwepo kwetu?Adamu ni fictional character anaye exist kwenye hekaya za Biblia tu.
Hakuna mwenye uthibitisho wa uwepo wa huyo Adamu zaidi ya hadithi za kusadikika za kwenye Biblia.
Hadithi za uwepo wa Adamu hazina tofauti na hadithi za uwepo wa Abunuwasi.
Adamu ni fictional character.
Are you there?
Nilishakwambia hapo juu, Binadamu hawaumbwi.Ikiwa unayo dai ni kweli, swali ni nani au ni nini kiliumba kuwepo kwetu?
Binadamu wa mwanzo kabisa alizaliwa na nani.Nilishakwambia hapo juu, Binadamu hawaumbwi.
Binadamu hatuumbwi.
Binadamu tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.
Hakuna binadamu aliyeumbwa.
Wewe Muislamu wa kuchonga wa kule Mwanerumango unajua Mabwana wenu wa Kiarabu wanawaita nyinyi NANI?Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)
Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!
Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
Binadamu wa mwanzo kabisa alizaliwa na nani.