Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
- Thread starter
-
- #101
Ila kuna kitu mnakoseaga sana aise. Matusi ya nini? Kila mtu ana imani yake anayoona ni sahihi kwake. Tatizo kubwa la upande wanaomuamini Mungu, ni kutaka kukonvinsi wengine wamuamini. Ukiwauliza sababu za kumuamini, hawana. Ukiwapa vigezo vya kutokuwepo kwake,hawataki.Kenge ni baba na mama yako waliozaa punguani kama wewe usiyefikiri sawasawa.
Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Unafosi imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.
Idiot.
Tupe walau vigeo 5 vinavyodhihilisha uwepo wake. Na je, wewe kama wewe,unaesisitiza uwepo wake,kwa umri wako,ulijuaje yanayosemwa ni kweli yapo?Naona unarudia zile zile nyimbo nimekuliza wewe unayesema hakuna Mungu ulienda anapo kaa ukaona hayupo.
Anapo kaa wapi?Naona unarudia zile zile nyimbo nimekuliza wewe unayesema hakuna Mungu ulienda anapo kaa ukaona hayupo.
Mimi situkani mtu anayekuja kwa kujenga hoja.Ila kuna kitu mnakoseaga sana aise. Matusi ya nini? Kila mtu ana imani yake anayoona ni sahihi kwake. Tatizo kubwa la upande wanaomuamini Mungu, ni kutaka kukonvinsi wengine wamuamini. Ukiwauliza sababu za kumuamini, hawana. Ukiwapa vigezo vya kutokuwepo kwake,hawataki.
Sasa basi, mada hizi nadhani ni kwa ajili ya kubadilishana mawazo,matusi hayasaidii jamani.
-Azuwie makombola ya Iran kuwahit watu wake na makazi yao.Anajua ww ulitaka Mungu afanyaje
Math 16:1Huku si kujenga hoja bali kufosi imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.
Thibitisha Mungu yupo na ulijuaje yupo?
Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.
Mungu hayupo.
Huyo Mungu kama yupo, ajitokeze mwenyewe ajitetee na kujiongelea kama ana huo uwezo.
Sio wewe unahangaika kumuelezea na kumtetea.
Hizi ni hekaya za vitabuni unaleta tu hapa.Math 16:1
Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaonyeshe ishara itokayo mbinguni.
Mathayo 16:4
Kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya Yona. Akawaacha, akaenda zake.
Tatizo lako unadhani Mungu yupo kwenye dunia anaishi vipi aliye umba dunia aishi ndani ya dunia we ziko sawa kichwani kweli. Yeye anazishikilia mbingu na ardhi unataka akuwachie wewe uzishikilie hahahaAnapo kaa wapi?
Nimeshakwambia Mungu hayupo popote pale, halafu unasema nilienda anapokaa!
Mungu hakai na hayupo popote pale.
Wewe unayesema Mungu yupo, ndio ueleze huyo Mungu yupo wapi?
😅😅Tatizo lako unadhani Mungu yupo kwenye dunia anaishi vipi aliye umba dunia aishi ndani ya dunia we ziko sawa kichwani kweli. Yeye anazishikilia mbingu na ardhi unataka akuwachie wewe uzishikilie hahaha
Huyu na kiranga wanasema Mungu hayupoNaona unarudia zile zile nyimbo nimekuliza wewe unayesema hakuna Mungu ulienda anapo kaa ukaona hayupo.
Mungu ni Mungu anayefuata sheriaHuwa najiuliza kuhusu motoni....
Yaani mtu anawezaje kumchoma mwanae.
Wewe unaweza kumchoma mwanaoMungu ni Mungu anayefuata sheria
Ss tukienda kinyume ndio hivyo sasa
mwishoni ni motoni
Mungu anataka tuishi maisha ya Utakatifu
Dunia imeharibikiwa na vitu vingi
HapanaWewe unaweza kumchoma mwanao
Achana na mtu. Mungu alimuumba binadamu, ili badae aje amchome moto wa milele.Huwa najiuliza kuhusu motoni....
Yaani mtu anawezaje kumchoma mwanae.
Hakuna mbingu.Tatizo lako unadhani Mungu yupo kwenye dunia anaishi vipi aliye umba dunia aishi ndani ya dunia we ziko sawa kichwani kweli. Yeye anazishikilia mbingu na ardhi unataka akuwachie wewe uzishikilie hahaha
Yupo wapi?Huyu na kiranga wanasema Mungu hayupo
Kumbe yupo
Nakuliza wewe uliwahi kumuona babu yako au baba wa babu yako sio wewe au hakuna hata mmoja wetu ambaye amewahi kuona, au kusikia, au kuhisi, au kunusa, au kuona mababu zetu lakini tunaamini kwamba walikuwepo.Hakuna mbingu.
Hakuna Mungu.
Mungu na mbingu vina exist kwenye hekaya zenu za Biblia tu.
Hujathibitisha Mungu yupo, Hujathibitisha mbingu ipo, Unaruka ruka tu na mifano illogical.
Mbinguni, Duniani na ndani ya mtu aliena roho wa MunguYupo wapi?
Thibitisha uwepo wake na si imani zako za vitabuni ulizo aminishwa na kupumbazwa.
Unasema tu Mungu yupo, ila bado Hujathibitisha uwepo wake!