Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
YhNakuliza wewe uliwahi kumuona babu yako au baba wa babu yako sio wewe au hakuna hata mmoja wetu ambaye amewahi kuona, au kusikia, au kuhisi, au kunusa, au kuona mababu zetu lakini tunaamini kwamba walikuwepo.
Kutokana na point yako hakuna hata mmoja wetu anayepaswa kuamini kwamba mababu zetu walikuwepo, kwa kuwa hakuna ushahidi wa kuthibitisha hili.
Akili yako una sema Mungu hayupo sababu hakuna aliye muona ukweli akili yako haiko sawa, unataka kusema sisi tusio waona babu tuseme hatuna mababu.
Hii point inatuweka kwenye hatua ya unafiki, unawezaje kuwa na imani kama hiyo, lakini unaamini kwamba mababu zako walikuwepo, nina hakika wengi, ikiwa sio wanao amini Mungu wote wanaamini uwepo wa mababu zao.
Wewe unasema Mungu hayupo kwa sababu tu fikra zako ziko ki Atheist zina dosari, sayansi imehitimisha kuwa hakuna kitu kama bahati nasibu. Huo ni ushahidi muhimu unaoonyesha kuwepo kwa Mungu.
ni sawa anasema hana babaNakuliza wewe uliwahi kumuona babu yako au baba wa babu yako sio wewe au hakuna hata mmoja wetu ambaye amewahi kuona, au kusikia, au kuhisi, au kunusa, au kuona mababu zetu lakini tunaamini kwamba walikuwepo.
Kutokana na point yako hakuna hata mmoja wetu anayepaswa kuamini kwamba mababu zetu walikuwepo, kwa kuwa hakuna ushahidi wa kuthibitisha hili.
Akili yako una sema Mungu hayupo sababu hakuna aliye muona ukweli akili yako haiko sawa, unataka kusema sisi tusio waona babu tuseme hatuna mababu.
Hii point inatuweka kwenye hatua ya unafiki, unawezaje kuwa na imani kama hiyo, lakini unaamini kwamba mababu zako walikuwepo, nina hakika wengi, ikiwa sio wanao amini Mungu wote wanaamini uwepo wa mababu zao.
Wewe unasema Mungu hayupo kwa sababu tu fikra zako ziko ki Atheist zina dosari, sayansi imehitimisha kuwa hakuna kitu kama bahati nasibu. Huo ni ushahidi muhimu unaoonyesha kuwepo kwa Mungu.
Mababu zetu walikuwepo na hili linafahamika wazi kabisa.Nakuliza wewe uliwahi kumuona babu yako au baba wa babu yako sio wewe au hakuna hata mmoja wetu ambaye amewahi kuona, au kusikia, au kuhisi, au kunusa, au kuona mababu zetu lakini tunaamini kwamba walikuwepo.
Ushahidi wa kuthibitisha upo, kuna picha za mababu zetu.Kutokana na point yako hakuna hata mmoja wetu anayepaswa kuamini kwamba mababu zetu walikuwepo, kwa kuwa hakuna ushahidi wa kuthibitisha hili.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika zaidi ya hadithi uchwara za vitabuni zisizo na uthibitisho wowote ule.Akili yako una sema Mungu hayupo sababu hakuna aliye muona ukweli akili yako haiko sawa, unataka kusema sisi tusio waona babu tuseme hatuna mababu.
Mababu zetu hawa aminiki walikuwepo.Hii point inatuweka kwenye hatua ya unafiki, unawezaje kuwa na imani kama hiyo, lakini unaamini kwamba mababu zako walikuwepo, nina hakika wengi, ikiwa sio wanao amini Mungu wote wanaamini uwepo wa mababu zao.
Huyo Mungu kama yupo ajitetee mwenyewe sio wewe unahangaika kumuelezea na kumtetea.Wewe unasema Mungu hayupo kwa sababu tu fikra zako ziko ki Atheist zina dosari, sayansi imehitimisha kuwa hakuna kitu kama bahati nasibu. Huo ni ushahidi muhimu unaoonyesha kuwepo kwa Mungu.
Mbinguni ni wapi?Mbinguni,
Roho ni nini?Duniani na ndani ya mtu aliena roho wa Mungu
We mababu zako wote uliona picture zao au makaburi yao wacha longo longo. OK kwanini unamini gravity na huioniMababu zetu walikuwepo na hili linafahamika wazi kabisa.
Ushahidi wa kuthibitisha upo, kuna picha za mababu zetu.
Kumbukumbu za mababu zetu, ikiwemo picha zao, makazi yao, nguo zao na hata vitu vyao walivyotumia wakati wa uhai wao vipo na vimehifadhiwa kama kumbukumbu.
Na hapo tunapata uthibitisho tosha kwamba mababu zetu walikuwepo.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika zaidi ya hadithi uchwara za vitabuni zisizo na uthibitisho wowote ule.
Hakuna mwenye ushahidi wala kitu chochote kile kinachothibitisha uwepo wa Mungu.
Mababu zetu hawa aminiki walikuwepo.
Mababu zetu wanajulikana kabisa kwamba walikuwepo.
Kumbukumbu zao zipo na zimehifadhiwa. Picha zao, makazi yao waliyo ishi, vitu vyao walivyotumia vipo na vimehifadhiwa.
Pia makaburi yao yapo na yanathibitisha wazi kabisa kwamba mababu zetu walikuwepo na waliishi.
Sasa huyo Mungu wako wa kufikirika hayupo kwa namna yoyote ile na hakuna ushahidi wala uthibitisho wowote ule wa uwepo wake.
Mnapiga porojo tu na hadithi uchwara za kusadikika za hekaya za Biblia.
Huyo Mungu kama yupo ajitetee mwenyewe sio wewe unahangaika kumuelezea na kumtetea.
Unahangaika sana kumuelezea Mungu ambaye hayupo kujieleza mwenyewe.
Unahangaika kufosi uwepo wa Mungu na wala huna uthibitisho wowote ule wa kuthibitisha uwepo wake.
Hakuna Mungu.
Vitu vyao walivyotumia vipo na vimehifadhiwa kama kumbukumbu na uthibitisho kwamba walikuwepo.We mababu zako wote uliona picture zao au makaburi yao wacha longo longo.
Gravity haiaminiwi.OK kwanini unamini gravity na huioni
Gravity si kitu au kitu kinachoweza kuangaliwa na kupimwa moja kwa moja, isipokuwa ni kupindwa kwa muda wa anga unaosababishwa na Mass na Energy huoni kama umeanza kychangan'yikiwa eti Gravity inapimwa 😂Vitu vyao walivyotumia vipo na vimehifadhiwa kama kumbukumbu na uthibitisho kwamba walikuwepo.
Gravity haiaminiwi.
Gravity inapimika.
We can measure gravity as acceleration due to gravity(g).
Sasa huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile hata kupimika, hapimiki.
Huyo Mungu ni mawazo uchwara ya kufikirika tu.
Hakuna Mungu.
Very interesting!Kila binadamu amezaliwa na wazazi wake.
Hakuna binadamu wa mwanzo.
Hakuna binadamu wa mwanzo kwa binadamu wote.
Kila binadamu ana mwanzo wake mwenyewe.
Na hili linathibitika kwa utofauti wa rangi zetu na vinasaba🧬 vyetu.
Kama kungekuwa na binadamu wa mwanzo kwa binadamu wote basi binadamu wote tungefanana vinasaba na rangi zetu kwa sababu tungekuwa tumetokana na binadamu mmoja tu.
Lakini sivyo, Binadamu tuna tofautiana, kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wajapani, wachina, wafilipino, waarabu, wahindi weusi, wahindi weupe n.k
Sasa kwa huu utofauti uliopo, Haiwezekani kwamba tuwe tumetokana na binadamu mmoja tu wa mwanzo.
Kwa hivyo, Hakuna binadamu wa mwanzo wa watu wote ulimwengu.
Habari za uwepo wa binadamu wa mwanzo kwa binadamu wote ni myths tu.
Hahaha jamaa huyo anamini story za babu zake lakini za Mungu haziamini 🤣Very interesting!
Mkongwe, kwahiyo haukubaliani na theory of evolution of man!?
Na huyu jamaa, Yuval Noah, haukubaliani nae kabisa!?
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
View attachment 3389051
Gravity si kitu au kitu kinachoweza kuangaliwa na kupimwa moja kwa moja, isipokuwa ni kupindwa kwa muda wa anga unaosababishwa na Mass na Energy huoni kama umeanza kychangan'yikiwa eti Gravity inapimwa 😂
Evolution of man kuanzia wapi?Very interesting!
Mkongwe, kwahiyo haukubaliani na theory of evolution of man!?
Na huyu jamaa, Yuval Noah, haukubaliani nae kabisa!?
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
View attachment 3389051
Suala la mababu si imani.Hahaha jamaa huyo anamini story za babu zake lakini za Mungu haziamini 🤣
Mimi ni Machenical engineer physics ni lazima, wewe tatizo lako unaruka huku na kule nimekuliza gravity ina onekana ukasema unaipima vipi unaipima wakati Gravity is not a directly measurable thing. Gravity isn't a substance that can be held or measured in isolation. We rudi ukasomeshwe huna unalolijua.
Nenda kasome zaidi maana inaonekana hata physics hukusoma.
Kwani wewe mkongwe unaelewa nini kuhusu theory of evolution of man?Evolution of man kuanzia wapi?
Machenical❌Mimi ni Machenical engineer
Physics yako ni ya vichochoroni huko.physics ni lazima,
Nimekuwekea hiyo link ukasome ujielimishe maana hiyo physics yako ulifundishwa chini ya mti. 🌲wewe tatizo lako unaruka huku na kule nimekuliza gravity ina onekana ukasema unaipima vipi unaipima wakati Gravity is not a directly measurable thing. Gravity isn't a substance that can be held or measured in isolation. We rudi ukasomeshwe huna unalolijua.
Nimekuuliza swali kwanza, Evolution kuanzia wapi?Kwani wewe mkongwe unaelewa nini kuhusu theory of evolution of man?
Okay!Nimekuuliza swali kwanza, Evolution kuanzia wapi?
Hapo itakuwa nilitype by mistake hio si issue ya kumiza kichwa sana, unless uwe mjinga tu unatafuta point ndio utaona issue kubwa 😄Machenical❌
Mechanical✅
Wewe labda ulisoma uinjinia wako vichochoroni huko chini ya mwembe 🌲 Hujui hata kuandika ulichosomea vizuri.
Physics yako ni ya vichochoroni huko.
Nimekuwekea hiyo link ukasome ujielimishe maana hiyo physics yako ulifundishwa chini ya mti. 🌲
Unaandika urojo tu.