Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi na Eminem ndo hizohizo eti....nampenda kweliSio kweli!! Ww utakuwa unawasikiliza walevi wa wanzuki pale Manzese na ukaconclude kwamba waimba michano wote miyeyusho,HIPHOP ndio mziki pekee unaoongelea real life ya kitaa na Emcees wanawasilisha ujumbe wao na kueleweka na jamii haraka kuliko genre nyingine za muziki..hebu cheki kwanza hizi lines za 2pac katika wimbo wa keep ya head up wa mwaka 93 then nambie bado unahisi wachanaji ni watu waliochanganyikiwa!???
"And since we all came from a woman Got our name from a woman and our game from a woman (yeah, yeah) I wonder why we take from our women Why we rape our women, do we hate our women? (Why? Why?) I think it's time to kill for our women (why? Why? Why? Why?) Time to heal our women, be real to our women And if we don't we'll have a race of babies That will hate...""
SawA love[emoji3526]No love,nilikuwa nauliza tu cute wangu
Mmh! Hipapu?!Wenyewe wanaita hipapu🤣🙌
Ile wanaanza kwa kusema, Yoo yoo.., kisha wanaanza kufokafoka?Yeah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Cha Malawi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itakuwa nilipiga wida[emoji1732]
Nyimbo za michano naonaga ni za watu waliochanganyikiwa,eti 🤔?
Afu kichwa hakijakaa sawa Leo,sijui kwann...daaa🙄
🚴🚴🚴🚴
Nyimbo za michano naonaga ni za watu waliochanganyikiwa,eti 🤔?
Afu kichwa hakijakaa sawa Leo,sijui kwann...daaa🙄
🚴🚴🚴🚴