Au Nchimbi anafanya kusudi ili kupandisha sukari za watu?

Au Nchimbi anafanya kusudi ili kupandisha sukari za watu?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Ah leo Nchimbi ametoka katikati ya uwanja na kurudi upande wa goli lake amewachambua wote akajifunga bao huku wenzake wakimshangaa.

Kwanza kawasifia wanaharakati na kumtaja Maria kama mtu shupavu. Samia alisema wana matendo ya kigaidi.

Pili katuambia tupambane tuwezavyo tupate katiba mpya. Kudadadadadadekiiii hii si ni "NO REFORM NO ELECTION" kabisa hii. Ah hii yenyewe hii. Sasa wale wa uhaini na ugaidi itakuwaje?

Soma pia Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

Samia na Mwigulu kazi mnayo kwa huyu mmakonde. Leo katwanga own goal na hii lazima ilete shida.
 
Ah leo Nchimbi ametoka katikati ya uwanja na kurudi upande wa goli lake amewachambua wote akajifunga bao huku wenzake wakimshangaa.

Kwanza kawasifia wanaharakati na kumtaja Maria kama mtu shupavu. Samia alisema wana matendo ya kigaidi.

Pili katuambia tupambane tuwezavyo tupate katiba mpya. Kudadadadadadekiiii hii si ni "NO REFORM NO ELECTION" kabisa hii. Ah hii yenyewe hii. Sasa wale wa uhaini na ugaidi itakuwaje?

Samia na Mwigulu kazi mnayo kwa huyu mmakonde. Leo katwanga own goal na hii lazima ilete shida.
Bado siamini nadhani AI sasa kama ni kweli anataka sisi tupambane kivipi sababu ni wao wanapiga marufuku kila kitu ambacho tunagombania kifanywe, kila linalofanywa na wasio wana CCM ni kosa mara ni jinai, mara ni uhaini na mara nyingine kutekwa na kuteswa ,kubambikiwe kesi na bado hamjakiri kwa yaliyotokea siku ya uchaguzi MO26. Na kila siku mnasema hatuhitaji katiba ndio si tumewasikia akina Ridhwani,Wassira n.k. Ushauri wangu kwa Nchimbi hayo aliyoyasema leo yapasa awaambia wenzake serikalini na kwenye chama chake! Tukubaliane na Mzee wetu Warioba, naamini alimwambia Nchimbi walivyokutana hivi karibuni. Watu tunaishi kama digidigi kwenye nchi yetu wenyewe! wakati cartel inaishi kama ipo peponi, si vizuri na haipendezi hata kidogo.
 
Screenshot_20260825_130002_WhatsAppBusiness.jpg
Msoga ndiye playmaker.
 
Back
Top Bottom