Au ni mimi mshamba kwa hali hii ya gari yangu?

Au ni mimi mshamba kwa hali hii ya gari yangu?

Corluka Neven

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
317
Reaction score
358
Mwanzoni gari yangu ya Vitz nilikua nikiwasha then nikaweka kwenye D pasipo kushusha hand break chini?huwa haisogei mbele?? Ila nashangaa leo nimeweka D then hand break ikiwa bado imesimama ma bado gari imeenda?

Je, hili ni tatizo gani au ni kawaida wataalamu?
 
Mwanzoni gari yangu ya Vitz nilikua nikiwasha then nikaweka kwenye D pasipo kushusha hand break chini?huwa haisogei mbele??
HII ULIACHIA BRAKE BILA KUKANYAGA MAFUTA WAKATI IPO KWENY HAND BRAKE
Ila nashangaa leo nimeweka D then hand break ikiwa bado imesimama ma bado gari imeenda??je hili ni tatizo gani??au ni kawaida wataalamu
NA HII UMEKANYAGA MAFUTA MKUU!
 
Back
Top Bottom