Au tunafuata mkumbo tu?!

Au tunafuata mkumbo tu?!

WISE 2012

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
634
Reaction score
460
*Hivi tunaolalamika pesa hakuna ni kweli tulikuwaga nazo au wengine tunafata mkumbo tu?*

Tusichoshane jamani

[HASHTAG]#Pigeni[/HASHTAG] Kazi

*"Mtaji Pumzi"*
 
Teh, teh, teh, teh! Kuna wengine wanaziponda Bombardiers, waulize waliishapanda ndege gani. Badala ya kujibu wanashusha mitusi tu! Teh, teh, teh!
 
Dah....ujinga mitupu
.. Tumeambiwa Serikali imeamua kuondoa fedha zake kutoka benki za biashara..kwa sababu ni pesa hizo hizo serikali ilikuwa inakopeshwa kwa riba..

...Tumeambiwa Serikali inaziba mianya ya wizi, rushwa na ufisadi wa mali ya umma....haiingii akilini semina ya watu 40 siku3 watumie maji ya 60m

Tumeambiwa Serikali inabana matumizi kwa kuzuia matumizi ya anasa...ile party ya wabunge imenunua vitanda muhimbili..sherehe ya uhuru imejenga bagamoyo road...

Serikali imeamua kukusanya kodi kihalali... haiwezekani mtu kukaa na Tshiling 600m ndani ya ofisi ya umma.... haiwezekani ukadiriwe kodi na mtu binafsi kisha umlipe bila kupewa risiti ya serikali....

Kama wakati haya yakitekelezwa...ukaanza kulia hali ngumu..basi jilaumu sana kwani wewe ndiyo ulikuwa kikwazo kwa nchi hii kusonga mbele kwa zaidi ya miaka 50[emoji13] [emoji13]
 
Wengine ndo wamejipatia sababu hapo na kujibweteka
 
Back
Top Bottom