Dah....ujinga mitupu
.. Tumeambiwa Serikali imeamua kuondoa fedha zake kutoka benki za biashara..kwa sababu ni pesa hizo hizo serikali ilikuwa inakopeshwa kwa riba..
...Tumeambiwa Serikali inaziba mianya ya wizi, rushwa na ufisadi wa mali ya umma....haiingii akilini semina ya watu 40 siku3 watumie maji ya 60m
Tumeambiwa Serikali inabana matumizi kwa kuzuia matumizi ya anasa...ile party ya wabunge imenunua vitanda muhimbili..sherehe ya uhuru imejenga bagamoyo road...
Serikali imeamua kukusanya kodi kihalali... haiwezekani mtu kukaa na Tshiling 600m ndani ya ofisi ya umma.... haiwezekani ukadiriwe kodi na mtu binafsi kisha umlipe bila kupewa risiti ya serikali....
Kama wakati haya yakitekelezwa...ukaanza kulia hali ngumu..basi jilaumu sana kwani wewe ndiyo ulikuwa kikwazo kwa nchi hii kusonga mbele kwa zaidi ya miaka 50[emoji13] [emoji13]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.