Au walimu wanatosha?

TATA PANYA

Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
54
Reaction score
8
Toka mwezi wa nne tangazo lilipotoka mpaka hii leo hakuna majina yoyote ya wanaotarajia kujiunga na mafunzo ya uliamu, hivi serikali kupitia wizara inafanya nini!? Yaani mipango inabadilika kila mwaka yaani hamwueleweki kabisa. Mwenye taarifa za karibu na wizara atupe habari.
 
Walimu sasa hiv wanatosha, alafu mkuu kasha sema kwamba sis tuliomakiza bachelor ya education tunaenda kufunfisha na primary kwa hyo nyie hamna nafasi tena vijana
 
Ubabaishaji kuanzia Rais, Waziri, mpaka mjumbe wa nyumba kumi..... Watoto wao wapo Havard, Cambridge, nyie makapuku mtasugua gaga kitaani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…