TATA PANYA
Member
- Jul 26, 2013
- 54
- 8
Toka mwezi wa nne tangazo lilipotoka mpaka hii leo hakuna majina yoyote ya wanaotarajia kujiunga na mafunzo ya uliamu, hivi serikali kupitia wizara inafanya nini!? Yaani mipango inabadilika kila mwaka yaani hamwueleweki kabisa. Mwenye taarifa za karibu na wizara atupe habari.