Aua Mke na Mkwe wake

Yakukute Ila yasikukute makubwa km haya ya kuuliwa na Mob Justice Mob Justice sio mchezo unachomolewa ulimi hivi unauona
Ukiwa HIGH hata Kifo hukisikii maumivu ogopa sana binadamu alie kata tamaa ya kuishi..

Nikawa wale wavaa mabomu na kujilipua kwenye kadamnasi...
 
Ukiwa HIGH hata Kifo hukisikii maumivu ogopa sana binadamu alie kata tamaa ya kuishi..

Nikawa wale wavaa mabomu na kujilipua kwenye kadamnasi...
Mob Justice ni kile kitengo cha utesaji kule kambini ni noma unatwishwa kitu kizito tena kwa kutupiwa kichwa ukiwa umefungwa kamba ili usikipokee kwa hio kinakufikia tu kichwani na kichwa kinageuka chapati
 
KATAA NDOA KATAA UHUNI NA USANII
Kuna wakati hiki chama cha kataa ndoa ni kama nataka kukielewa hivi 😎😎 daah yaani siku hizi matukio ya kuuana asilimia kubwa yamekua yakiwatokea wana ndoa tu..
 
Mambo ya ufosaro na mazeli
Wake

Ova
 
Nasikia mwanaume alipitia ujeda...maarufu mtaani kama mjeshi..kumbe alishastaafu alirudi home...na hana rekodi mbaya..umri ni miaka 60 nk...kwa mujibu wa diwani wa kata ya Nala Yohana Masila...
 
Mtoto wa marehemu anasema kabla ya kufa mama yake alimwambia baba yake alikua anamnyanyasa...alikua akienda hapo home mama anampa malalamiko kuwa baba anamnyanyasa..kijana anasema ni wivu wa kimapenzi...kijana ana umri wa miaka 23 dereva boda boda..anasema ameshasuluhisha mara nyingi ugomvi wao...
 
Wengi wanao oa wana matatizo ya akili, unachukua mtoto wa mtu kwao kumbe ni mgonjwa wa mirembe , yani fala atae kuja kwa binti yangu mdogo akikua ajipange *****.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…