K kangesa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2023 Posts 551 Reaction score 1,063 Jan 29, 2024 #61 Mama mkwe kuna kitu alienda kulazimisha ili kuweka mambo sawa kwa upande wao
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,942 Reaction score 4,230 Jan 30, 2024 #62 Ugumu wa maisha unaleta frustrations sana kwa watu. Afya ya akili ni tatizo jingine kubwa sana ambalo tunapaswa kulichukulia tahadhari ya hali ya juu sana. Wapumzike kwa amani.
Ugumu wa maisha unaleta frustrations sana kwa watu. Afya ya akili ni tatizo jingine kubwa sana ambalo tunapaswa kulichukulia tahadhari ya hali ya juu sana. Wapumzike kwa amani.
Smotor JF-Expert Member Joined Jan 3, 2021 Posts 2,461 Reaction score 2,058 Jan 31, 2024 #63 Lee Yeon said: KATAA NDOA KATAA UHUNI NA USANII Click to expand... Ndoa ni uhuni tu. Ndoa tulijitungia sisi wenyewe. Kiuhalisia sisi ni wanyama kama mbuzi, kondoo mbwa n. K Imagine unaingia mkataba wa kulala na mwanamke/mwanaume mmoja miaka 50+...!? Haiingii akilini kabisa
Lee Yeon said: KATAA NDOA KATAA UHUNI NA USANII Click to expand... Ndoa ni uhuni tu. Ndoa tulijitungia sisi wenyewe. Kiuhalisia sisi ni wanyama kama mbuzi, kondoo mbwa n. K Imagine unaingia mkataba wa kulala na mwanamke/mwanaume mmoja miaka 50+...!? Haiingii akilini kabisa
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,431 Reaction score 13,876 Jan 31, 2024 #64 Hilo jina la kamanda: OTIENO. Nawaswas mimi....... mh