Auawa, akatwa korodani na koromeo na watu wasiojulikana mkoani Mwanza wilaya ya Sengerema

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Mtu mmoja ambaye hajatambulika jina lake, mkazi wa Mwanza na mfanyabiashara ya Tax amekutwa amekufa kwenye tax yake wilayani Sengerema baada ya kukodiwa na watu wasiojulikana kutoka jijini Mwanza.

Mtu huyo aligundulika kuwa ameuawa, kwa kunyongwa na kamba ngumu iliyofungwa shingoni kisha kwenye usukani wa gari lake pamoja na mikononi.

Marehemu amekutwa amekatwa Korodani kwa maana ya kende(pumbu), amenyofolewa koromeo na kuchomolewa macho yote mawili.

Marehemu inasemekana alikokodishwa na watu waliohitaji huduma ya tax kutokea mkoani Mwanza kwenda wilaya ya Sengerema.

Watu hao inasemekana baada ya tukio hilo walimtelekeza marehemu kwenye gari na kutokomea kusikojulikana.

Marehemu alipelekwa mochwari na kusafirishwa kupelekwa kwao Kamachumu wilaya ya Muleba na amezikwa Jana Kijijini kwao.

Bwana ametwaa ila wasiojulikana wametwa Zaidi, jina la bwana liimidiwe.

Inasemekana matukio haya ni mengi mkoani Mwanza, Je Nini kinaendelea mkoani Mwanza?

PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana

~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
 
Marehem amekutwa amekatwa Kolodani kwa maana ya kende(pumbu),emenyofolewa kolomeo na kuchomolewa macho yote mawili.

Marehemu inasemekana alikokodishwa na watu walio hitaji huduma ya tax kutokea mkoani mwanza,kwenda wilaya ya sengerema.
Biashara ya viungo vya wanadamu imeshamiri, dola ifanye hima ikomeshe hii mitandao tutakwisha - hasa mikoa ya kanda ya ziwa.
 
Yani memejua ni dereva tax wa mwanza..mkajua alikodiwa toka mwanza hadi sengerema..mkajua ni mkazi wa kamachumu..ila jina lake halifahamiki anyway apumzike kwa amani.

Kumbukeni uchaguzi wa kijani ngazi za wajumbe unaaza mwezi ujao.

WanaSiasa na wafanya biashara ndio wateja wa kubwa wa harakati za waganga wa kienyeji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nyakati hizi ni kama haya mauji yameidhinishwa na yapo kisheria.
tunaanza kuzoea sasa kusikia au kuona ndani ya wiki matukio mawili au matatu ya mauji kutokea.
 
Hivi ni nini hiki kinaendelea hapa nchini? Tunataka majibu. Pia mtubu na kumalizia bwawa la Nyerere kama redemption
 
Kwa Nini hajafahamika jina wakati amesafirishwa Kwao kuzikwa?
 
Hapo ndio inapaswa tuone matumizi ya uganga sasa, hao walioua wote waamue tu wenyewe kujinyonga....
 
Mtu mmoja ambaye hajatambulika jina lake, mkazi wa Mwanza na mfanyabiashara ya Tax amekutwa amekufa kwenye tax yake wilayani Sengerema baada ya kukodiwa na watu wasiojulikana kutoka jijini Mwanza.

Mtu huyo aligundulika kuwa ameuwa, kwa kunyongwa na kamba ngumu iliyofungwa shingoni kisha kwenye usukani wa gari lake pamoja na mikononi.

Marehemu amekutwa amekatwa Korodani kwa maana ya kende(pumbu), amenyofolewa koromeo na kuchomolewa macho yote mawili.

Marehemu inasemekana alikokodishwa na watu waliohitaji huduma ya tax kutokea mkoani Mwanza, kwenda wilaya ya Sengerema.

Watu hao inasemekana baada ya tukio hilo walimtelekeza marehemu kwenye gari na kutokomea kusikojulikana.

Marehemu alipelekwa mochwari na kusafirishwa kupelekwa kwao Kamachumu wilaya ya Muleba na amezikwa Jana Kijijini kwao.

Bwana ametwaa ila wasiojulikana wametwa Zaidi, jina la bwana liimidiwe.

Inasemekana matukio haya ni mengi mkoani Mwanza, Je Nini kinaendelea mkoani Mwanza?.
Tax ni kodi.
 
Mtu mmoja ambaye hajatambulika jina lake, mkazi wa Mwanza na mfanyabiashara ya Tax amekutwa amekufa kwenye tax yake wilayani Sengerema baada ya kukodiwa na watu wasiojulikana kutoka jijini Mwanza.

Mtu huyo aligundulika kuwa ameuawa, kwa kunyongwa na kamba ngumu iliyofungwa shingoni kisha kwenye usukani wa gari lake pamoja na mikononi.

Marehemu amekutwa amekatwa Korodani kwa maana ya kende(pumbu), amenyofolewa koromeo na kuchomolewa macho yote mawili.

Marehemu inasemekana alikokodishwa na watu waliohitaji huduma ya tax kutokea mkoani Mwanza kwenda wilaya ya Sengerema.

Watu hao inasemekana baada ya tukio hilo walimtelekeza marehemu kwenye gari na kutokomea kusikojulikana.

Marehemu alipelekwa mochwari na kusafirishwa kupelekwa kwao Kamachumu wilaya ya Muleba na amezikwa Jana Kijijini kwao.

Bwana ametwaa ila wasiojulikana wametwa Zaidi, jina la bwana liimidiwe.

Inasemekana matukio haya ni mengi mkoani Mwanza, Je Nini kinaendelea mkoani Mwanza?.
Huu unyama ulianzia mkoani kagera kwa kikundi cha watu kuendeleza huo unyama.

Na kuna baadhi ya wahusika walikamatwa na kufikishwa mahakamani na mwaka juzi au mwaka jana walihukumiwa kunyoongwa na mahakama kuu pale bukoba.
 
Biashara ya viungo vya wanadamu imeshamiri, dola ifanye hima ikomeshe hii mitandao tutakwisha - hasa mikoa ya kanda ya ziwa.
Aisee kuishi Bukoba na mwanza kwa sasa ni hatari maana hiki kikundi ni hatari naona kimerudi upyaaa
 
Back
Top Bottom