Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

Nakwambia hata kwenye huu uzi watasingizia wanawake ndio chanzo cha wao kufanya hayo,
Ni dhaifu ndio maana wanajificha kwenye kivuli cha kulaumu wanawake 24/7.
Hata Adamu alimnyooshea kidole mwanamke kwa dhambi yake ya kuasi na kula tunda.

Mpaka leo, analaumiwa Delila kwa upumbavu wa Samson.
 
Hiyo ndio dawa hakuna kupeleka polisi, baba jitu zima linashindwa kwenda kuokoteza wanawake hata vilabuni mpk alawiti mtoto?!![emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Siku nyingine kwanza naye alawitiwe ndo auwawe shenzy kabisa
 
Siyo Mwambulukusi?
 
Kwanin hawakumlawiti na magunzi kabla ya kumuua?
 
Hiki kipande
 
Hata Adamu alimnyooshea kidole mwanamke kwa dhambi yake ya kuasi na kula tunda.

Mpaka leo, analaumiwa Delila kwa upumbavu wa Samson.
Thank you kwa mifano mizuri iliyo hai,

Btw, you good??
 
Mbona wamempa adhabu ndogo hivyo...🤔
 
Sijui tuwalaumu wanaume au tumlaumu shetani.

Mbona hamtosheki ? Kifo ni adhabu sahihi.

Yaani huko kwa kamanda eti hawapokei simu, vile they don't care ?

Isanga mbeya kitongoji cha uchawi. Kuna miaka walikuwa wanadondoka na hizo ndege zao.

Pole mjukuu uliyedhulumiwa maisha. God take him to Ibrahim hands.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…