Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

Kwa hiyo tubaki wanawake pekee halafu kizazi kitaendeleaje duniani? Nani atatukaza?
Samahani, wewe Ni mpumbavu
Wapumbavu kama wewe ni wale wanaotegemea maisha yao kuendeshewa na hiyo gender,
Fanya kazi ujikomboe kwenye utumwa wa kutumikishwa kama tambara la deki.
 
Sijalisoma hilo gazeti lakini nakushauri umeze haraka dawa zako za.... side effects hua ni kubwa sana ukiskip the dose.
🥲
Umesoma, ungekuwa haujasoma usingejibu hivi. Give yourself a chance.
 
Watu wa
Mbeya ni wapumbavu sana
 
The other gender again, [emoji119]
Tukisema hii jinsia ni laana itokomezwe ili dunia ibaki salama, tunaonekana haters.
Acha ubinafsi. Yani kwakua wewe unaenjoy kusagana na wanawake wenzio, basi unataka wanaume waote watokomezwe? Kaa kwa kutulia, wenzako wanaopenda mishedede yetu wapo wengi sana. We're here to stay!

Tukio la mpuuzi mmoja haliwezi kuhalalisha kutokomezwa kwa gender yote ya kiume. Kuna nurse wa kike uingereza ameua watoto wachanga zaidi ya kumi kwa sumu. Vipi, tuwahukumu wanawake wote kwa sababu ya upuuzi wake?
 
Ubinafsi or not, mfe tu tumewachoka, Dunia ibaki Salama
 
Ubinafsi or not, mfe tu tumewachoka, Dunia ibaki Salama
Yani wanaume wote tufe ili tukufurahishe wewe? Hauwezi kua serious!

Kuna wenzio wanaitaka mishedede, wanatuombea tuendelee kuishi. Maombi yao yanasikilizwa kuliko ya kwako yaliyojaa chuki!

You really need some good dick dadaangu. Haya makasiriko yataisha!
 
Lakini pia wazazi inabidi tuwe macho na watoto wetu, mtoto mdogo usiku alikuwaje peke yake hadi ifikie anabakwa nje na nyumbani mama yuko wapi??

Kina mama wenzangu malezi sio tuu kumpa chakula na kumsomesha, inabidi tuwe makini na mtoto anacheza wapi, muda gani yupo wapi na anafanya nini. Kazoeana na nani na marafiki zake wote.

Pia tuwafundishe kutomfwata mtu asijemjua, ikiwemo kupokea vizawadi kama pipi, biskuti chokoleti na fedha.
 
To be honest sijasoma, hua nakuimagine ni mtu uliyekosa utimamu wa akili (judging from maandishi yako)
Yeah, inaweza kuwa ni hivyo kuwa umeimagine kuwa me ni mwehu ila kuna upande wako wa pili umejaribu kuwaza nilichokielezea hapo kuwa kikitokea kweli utapata experience gani. Kiukweli kuna upande wako umetamani though hautakubali hapa sababu ni hadharani.

But anyways, take your time let that sink in.
 
Kumbe hawana kitu chochote wanachokihitaji kwenu zaidi ya mishedede! Nikadhani labda kuna kubwa mnalowafadhili,

Hii gender bhana haina inachowaza zaidi ya ngono ndio maana hamuwezi kuacha kubaka na kulawiti watoto hadi wanyama, ni wachafu sana
 
Kama huyo shuhuda anasema ukweli, basi ni jambo la kikatili sana amefanya
Kama shahidi anasema ukweli. Na kama hasemi ukweli ?

Matanuri ya jehanamu hayataweza kulipiza kisasi cha kutosha kwa madhambi ya mtu huyu, ni makubwa kupindukia. Lakini mshutumiwa wa ulawiti na uuaji wa mtoto alipaswa kupewa haki jinai ya kisheria.

Haki jinai tunazoziongelea sio kwa wadokozi wadogo wadogo wa kuku au kwa wapinzani wanapokamatwa na majeshi ya CCM. Ni kwa kila mtu. Ukimpa haki jinai mtuhumiwa wa dhambi mbaya kuliko zote basi raia wengine wote tunahakikishiwa kupewa haki jinai zetu.

Hili pia linasaidia kuwanoa wanasheria wetu, wajifunze kutafuta na kuleta ushahidi mahakamani, na kuboresha tasnia nzima ya sheria, ambayo kwa sasa imefubaa, wanasheria wa serikali hawana uwezo tena.

Lingine la muhimu katika kumpa mtuhumiwa haki jinai ni nafasi ya kuhojiwa ambayo inaweza kuipa jamii mwanga wa kuelewa chimbuko la matatizo kama haya. Je ni magonjwa ya akili, au ni mhalifu mzoefu ambae mfumo sheria ulimrudisha mtaani. Au mhalifu alichagizwa na uzembe wetu wa kuacha vitoto vyetu vinatambaa uchi uchi nje ya nyumba, na vitu kama hivyo.


Na mwisho, kuna uwezekano kwamba huyu aliyechomwa moto huyu ndio alimfuma huyu "shahidi" akilawiti. Walipopigana marehemu akazidiwa nguvu na shahidi wa uongo, by the time wananchi wanafika, mhalifu ndio ana nguvu za kumnyooshea kidole shahidi wa ukweli. Wananchi wanapozidi kufika wanapiga yule waliyekuta anapigwa, ambae kumbe ndio alikuwa shahidi wa kweli.

Mkamateni, mpelekeni kwa Regional Crime Officer akapimwe, akikutwa na vinyesi na DNA ya mtoto mchukueni kamnyongeni. It is that simple.

Ndivyo wanavyofanya nchi walizoendelea. Huko kwa mob justice walishatoka, na walikuwa wanaziweza hizi style za hukumu kuliko sisi. Nyinyi mnamwagia mafuta dakika tano kakauka? Wazungu walikuwa wanafanya slow roasting, unafungwa kwenye chaga inaitwa "stake," unawashwa moto mdogo mdogo pembeni yako hapo, unabanikwa kwa mbali, unatoka jasho masaa matatu, unakauka baada ya masaa sita! Wakajiona wanakosea. Wakasema tumpeni mtuhumiwa kesi halafu tumnyonge.
 
Kumbe hawana kitu chochote wanachokihitaji kwenu zaidi ya mishedede! Nikadhani labda kuna kubwa mnalowafadhili,

Hii gender bhana haina inachowaza zaidi ya ngono ndio maana hamuwezi kuacha kubaka na kulawiti watoto hadi wanyama, ni wachafu sana
Hauna cha kutufanya Chief!
 
Umeongea la maana sana.
Ila tatizo ni umasikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…